Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

Kwaiyo unatushauri nn sisi wa la Saba B?[emoji16]
 
Kuna kitu kimoja unashindwa kukijua kwamba you have your rules, I have my rules. Post haijasema 'USIOE...' Bali, "Sita..' yaani nimejitaja mwenyewe.
Kwa kuheshimu uhuru wa maamuzi huwa nakubali mwanamke akinikataa kwa kusema sina fedha, sina gari au chochote ambacho yeye ni kigezo chake cha kutokuwa na mwanaume. The same way na mimi nina vigezo vyangu kwa mwanamke. i.e, sichukui mwanamke chini ya diploma.
Unachokifanya hapo ni kutaka your rules to be my rules. Hebu nikuulize una wanawake wangapi ambao hauthubuti hata kuwatongoza, and why? ukijua hilo utajua vigezo vyako vya kuchukua msichana, vyangu ni elimu! elimu!elimu!
Nimekuelewa mkuu
 
Shehe papuchi hazina cha form 4 au PhD . papuchi ziko sawa tu.tena papuchi za wa form 4 ni tamu hatari
 
Nilikuwa na manzi mmoja, aliishia darasa la 5. Ebwana ee yule mtoto ni kichwa balaa.

Buzness yuko njema, mambo ya social yuko poa, yaani kila idara anajielewa kuliko makurumembe walioenda university.

Shida yake ni kuandika tuu, akiandika sms ni kama anaongea hamna nukta wala spacing, kwa nliemzoea nliona kawaida.

Elimi sio kigezo cha msingi sana mkuu.
Papuchi yake vipi,ilikua imenona?
 
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.

Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu.

Aisee sio kwa balaa hili, kwa kweli, nimewakumbuka sana wasichana niliokuwa nao enzi hizo, yaani naona nimeacha dhahabu nikaokota jiwe.

Yaani kwa sasa siwazi tena manzi yoyote nikitongoza akikubali na nikiona anafaa, hapa nilipo naondoka, naacha huyu mwanamke dunia imtie ilimu.

Na sitachukua mwanamke walau mwenye diploma, ila pia awe tayari kujiendeleza, sio aone ndio kashafika, asogee sogee kielimu tufanane kama ni gap lisiwe kubwa kihivyo.

Nikitongoza mwanamke akisema ni Form Four huwa mzuka unapotea, maana huwa najua mbali na kutongoza unaweza kusema hapa nafanya ya kufanya naondoka halafu unakuta umenasa, sasa ili kuweka mambo vizuri naanza awali kabisa.

Na hii sio kama nawashusha thamani walioshia form four, ni hali ya kawaida tu, sawa na mwanamke kusema anataka mwanaume mwenye hela, au mrefu. Preferences
Nafurahi kusikia kijana mwenzangu unapitia mafunzo (training) ya mahusiano kabla ya kufanya maamuzi makubwa kufunga pingu (hatari) za maisha. Hongera.

Endelea kujifunza.
 
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.

Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu.

Aisee sio kwa balaa hili, kwa kweli, nimewakumbuka sana wasichana niliokuwa nao enzi hizo, yaani naona nimeacha dhahabu nikaokota jiwe.

Yaani kwa sasa siwazi tena manzi yoyote nikitongoza akikubali na nikiona anafaa, hapa nilipo naondoka, naacha huyu mwanamke dunia imtie ilimu.

Na sitachukua mwanamke walau mwenye diploma, ila pia awe tayari kujiendeleza, sio aone ndio kashafika, asogee sogee kielimu tufanane kama ni gap lisiwe kubwa kihivyo.

Nikitongoza mwanamke akisema ni Form Four huwa mzuka unapotea, maana huwa najua mbali na kutongoza unaweza kusema hapa nafanya ya kufanya naondoka halafu unakuta umenasa, sasa ili kuweka mambo vizuri naanza awali kabisa.

Na hii sio kama nawashusha thamani walioshia form four, ni hali ya kawaida tu, sawa na mwanamke kusema anataka mwanaume mwenye hela, au mrefu. Preferences
Kaka yangu mwenyewe na mimi baba mmoja na mama mmoja alimwacha mkewe wa ndoa aliyemaliza la 7 tu miaka hiyo. Yule shemeji sijuwi alipatwa na nini, kuna kipindi Kaka aliupiga mwingi na akabahatika kupata fedha kibao miaka ya 2005. Alimpa shemeji milioni 80 azitunze ili akirudi mkoani wakae wajadili biashara ya kufanya. Cha kushangaza, kaka alirudi baada ya wiki mbili toka kuona wazee kijijini, alipomuuliza shemeji kuhusu hela shem akawa na wasiwasi na kusita kumpa kaka. Baada ya kugombezwa na kaka, shem akaleta zile hela lakini zilikuwa zimepungukiwa na milioni 60. Kuulizwa zingine ziko wapi, akasema alimpa mchungaji aziombee na hajarudisha mpaka leo hii. Kwenda kanisani mchungaji akasema shem alizitoa mwenyewe kama sadaka na zimetumika kupanua kanisa. Kurudi nyumbani shem kapigwa talaka huu mwaka wa 17 sasa shem bado anajuta tu na dini kaachana nayo kwa haibu na ujinga wake.
 
Mkuu kati ya shem na kaka ako nani mjinga zaidi?
 
Kenge plus
I can't jump to a river and join a Pro plus Kenge like you.
Am here concurring with this thread from what I have seen in my really life.
You don't have any audacity to comment like that it shows how stupid you are🤗
Argue with arguments🔨
 
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.

Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu.

Aisee sio kwa balaa hili, kwa kweli, nimewakumbuka sana wasichana niliokuwa nao enzi hizo, yaani naona nimeacha dhahabu nikaokota jiwe.

Yaani kwa sasa siwazi tena manzi yoyote nikitongoza akikubali na nikiona anafaa, hapa nilipo naondoka, naacha huyu mwanamke dunia imtie ilimu.

Na sitachukua mwanamke walau mwenye diploma, ila pia awe tayari kujiendeleza, sio aone ndio kashafika, asogee sogee kielimu tufanane kama ni gap lisiwe kubwa kihivyo.

Nikitongoza mwanamke akisema ni Form Four huwa mzuka unapotea, maana huwa najua mbali na kutongoza unaweza kusema hapa nafanya ya kufanya naondoka halafu unakuta umenasa, sasa ili kuweka mambo vizuri naanza awali kabisa.

Na hii sio kama nawashusha thamani walioshia form four, ni hali ya kawaida tu, sawa na mwanamke kusema anataka mwanaume mwenye hela, au mrefu. Preferences
Kijana naona wewe unataka kuoa shule na si mke, kwanza lazima ujue Kuna mwanamke na mtu mwenye sehemu za kike, naona ndiye uliyenaye watu wenye maumbile ya kike ni wasumbufu sana, ila wanake tena aliyefunzwa na wazazi ni wazuri mno, nakwambia utaenjoy sana na michongo yako itakuwa inanyooka vizuri sana, na utakuwa rijali hodari maana unakuwa stress free
 
I can't jump to a river and join a Pro plus Kenge like you.
Am here concurring with this thread from what I have seen in my really life.
You don't have any audacity to comment like that it shows how stupid you are[emoji847]
Argue with arguments[emoji375]
[emoji23][emoji23][emoji23] eti Kenge plus.
 
Back
Top Bottom