Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
VayolensiMliambiwa mkimbie umande...kuleni jeuri yenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VayolensiMliambiwa mkimbie umande...kuleni jeuri yenu!
Hahahhahahhatunashukuru kwa kutokutupotezea muda sisi wa 'fomfo',
Bwana atatupa wa kufanana na sisi..
Ahsante..!
hahaaa Hatutaki mke ukiweka sky news anaenda jikoni 🤣🤣Vayolensi
Sina la kusema😅hahaaa Hatutaki mke ukiweka sky news anaenda jikoni 🤣🤣
sijui kwanini nimekua mgumu kuelewaNimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.
Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu.
Aisee sio kwa balaa hili, kwa kweli, nimewakumbuka sana wasichana niliokuwa nao enzi hizo, yaani naona nimeacha dhahabu nikaokota jiwe.
Yaani kwa sasa siwazi tena manzi yoyote nikitongoza akikubali na nikiona anafaa, hapa nilipo naondoka, naacha huyu mwanamke dunia imtie ilimu.
Na sitachukua mwanamke walau mwenye diploma, ila pia awe tayari kujiendeleza, sio aone ndio kashafika, asogee sogee kielimu tufanane kama ni gap lisiwe kubwa kihivyo.
Nikitongoza mwanamke akisema ni Form Four huwa mzuka unapotea, maana huwa najua mbali na kutongoza unaweza kusema hapa nafanya ya kufanya naondoka halafu unakuta umenasa, sasa ili kuweka mambo vizuri naanza awali kabisa.
Na hii sio kama nawashusha thamani walioshia form four, ni hali ya kawaida tu, sawa na mwanamke kusema anataka mwanaume mwenye hela, au mrefu.
Mkuu kama hutajali naomba tu badilishani wa kwangu ana MA in sociology siku hizi ameanza kutafuta scholarship kusoma PhD nje ya nchi, mimi niko serious naomba unipe huyu wa form 4 hata akiwa darasa la saba sitajali tu ili mradi bado anaweza kuzaa watoto na kulea wengine, huyu wa kwangu ni memzalisha watoto wawili utaongezea hapo. mkuu ni pm tuyajenge plz umchukuwe huyu buana.Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.
Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu.
Aisee sio kwa balaa hili, kwa kweli, nimewakumbuka sana wasichana niliokuwa nao enzi hizo, yaani naona nimeacha dhahabu nikaokota jiwe.
Yaani kwa sasa siwazi tena manzi yoyote nikitongoza akikubali na nikiona anafaa, hapa nilipo naondoka, naacha huyu mwanamke dunia imtie ilimu.
Na sitachukua mwanamke walau mwenye diploma, ila pia awe tayari kujiendeleza, sio aone ndio kashafika, asogee sogee kielimu tufanane kama ni gap lisiwe kubwa kihivyo.
Nikitongoza mwanamke akisema ni Form Four huwa mzuka unapotea, maana huwa najua mbali na kutongoza unaweza kusema hapa nafanya ya kufanya naondoka halafu unakuta umenasa, sasa ili kuweka mambo vizuri naanza awali kabisa.
Na hii sio kama nawashusha thamani walioshia form four, ni hali ya kawaida tu, sawa na mwanamke kusema anataka mwanaume mwenye hela, au mrefu. Preferences
Hahahahaaaa Teh teh teh teh.....iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.. Umepatwa na nini aisee unataka kuikimbia PhD?Mkuu kama hutajali naomba tu badilishani wa kwangu ana MA in sociology siku hizi ameanza kutafuta scholarship kusoma PhD nje ya nchi, mimi niko serious naomba unipe huyu wa form 4 hata akiwa darasa la saba sitajali tu ili mradi bado anaweza kuzaa watoto na kulea wengine, huyu wa kwangu ni memzalisha watoto wawili utaongezea hapo. mkuu ni pm tuyajenge plz umchukuwe huyu buana.
Mkuu nahitaji mke na huduma za mwana mke simple tu.... sihitaji kufungua chuo kikuu kupata marekichara huyu aende kwa msomi mgine, anipe huyu wa darasa la saba i know ntamwa enjoye tu.Hahahahaaaa Teh teh teh teh.....iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.. Umepatwa na nini aisee unataka kuikimbia PhD?
Nitakuwa na grounds nyingi za kuelewana na Prof. kuliko form fourHata maDr na maProf wanatalikiana.
Kutofautisha elimu na maisha, ni jambo linalopatikana kwa wasio na elimu. Ukweli ni kuwa mapenzi ni zaidi ya sex, sasa ukisema usiangalie elimu ni kujichimbia kaburiInaonyesha wazi ufahamu wako ni shida. Mapenzi unayafananishaje na elimu mkuu? Unadhani kinu na mchi vinaelimu, wewe ulitumbukia kwenye mila hata usomeje Mila haikwepeki mf Masai nk.
Ni namna sahihi ya kufikiri, hata hivyo kuwa na uhakika wa kutimiza physiological needs ni jambo muhimu. Unaweza kufanana na mimi kwa kuona ndoa za mkataba zinaweza kuwa best option kwa ulimwengu wa sasaKuowa ni ujinga tuu na utumwa... Nimeowa ila naona hamna maana yoyote..
Kua uyaone!Nitakuwa na grounds nyingi za kuelewana na Prof. kuliko form four
Akili unayozaliwa nayo ni ile ya survival, kutokana na complexities zilizopo elimu ni muhimu. i.e unazaliwa unajua kucheka, kulia, kula, kunya nk, lakini haitoshi kuweza kufanya analysis kubwa za kukusaidia kufanya maamuzi. Nitakupa mfano, jamii ambazo zimebaki na elimu ya kuzaliwa i.e. kijiji wanakuwa na maendeleo duni na fikra duni kwa sababu hiyo.Kuna tofauti kubwa mno kati ya akili na elimu.
Akili tunazaliwa nazo.
Elimu tunaitafuta kulingana na mazingira yetu tunayokulia.
Mtu akikosa elimu si kigezo Cha kukosa akili.
Elimu inasaidia kusafisha akili.
Kuna watu wanna elimu kubwa akili kisoda na mpo tunawaona tu na hatuwadharau kwa akili zenu ndogo.
Huenda uliekutana ni akili ndogo afu hana elimu, hapo lazima ujute.