Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

Kutofautisha elimu na maisha, ni jambo linalopatikana kwa wasio na elimu. Ukweli ni kuwa mapenzi ni zaidi ya sex, sasa ukisema usiangalie elimu ni kujichimbia kaburi
Zaidi ya sex kivipi mkuu wakati ndio lengo kuu. Kwani kabla ya kuoa sii maisha yanaenda tuu
 
Oa mwanamke mwenye akili za maisha na anayejua nini maana ya maisha na rudia tena AKILI YA MAISHA.
 
Nitakuwa na grounds nyingi za kuelewana na Prof. kuliko form four
Sawa wewe nipe number za huo fomf nikupe huyu za huyu wa PhD wangu to come, ukae naye ndo utajua kwanini mti wa papai hautiwi mbao.........
 
Nitakuwa na grounds nyingi za kuelewana na Prof. kuliko form four
Sihitaji mwana mke wa PhD graduate au mwana harakati wa siasa activist wa human rights genda au children rights wale ni vichomi, kila jambo anataka atumie reasoning, haki sawa kila kitu
 
Wewe mwenye Uzi ni pumbavu Sana Baba ako kaishia darasa la Saba b na mama yako aliishia la 4 lakini wamekuzaa na kukulea wewe punda mpaka ukajielewa.....Leo ndio umeanza gubu ....sema nini mwana huna nyota Tu ya kutoka kutokana na tabia yako ya kiduwanzi .........usisingizie huyo demu ......kumbuka hata Baba yako alikuwa bingwa WA kuangua mapera shuleni kwao lakini alipendwa na mama yako.........don't lookin past ......
 
Amekufanya nini huyo mwanamke?
 
Umefanikiwa kutujulisha kuwa na wewe una madarasa,
 
Sasa sisi wa fomfo atatuoa nani au ndo tumelala yoyoyo

My opinion, wanaume ambao hawajasoma mara nyingi wanayajua maisha na wapambanaji, na ndio maana easy kutoboa maisha,,tofauti na wasomi 😁 wengi wao mazezeta, yani sio watu wa kazi, na hata tabia zao za ajabu ajabu tuu.

Kuhusu kuowa,,,ukiowa msomi kubali umeolewa,,but sio wote.

Wanawake jitambueni, usiangalie mwanamume aliesoma, angaria tabia yake,,na kwa mwanamume kwenda kwa mwanamuke iwe ivyo ivyo.

Nimemaliza wazehe

S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…