Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Usitoe vyote kwa pamoja. Yaani moyo na nguvu kwa mwanamke.
Toa kimoja uache kimoja.

Mfano, Kama utatoa pesa Basi usimpe Moyo wako. Hiyo tunaita kumfanya mwanamke Malaya. Yaani unanunua huduma yake.

Kama utatoa Moyo wako Basi usimpe Nguvu zako(Pesa), hiyo tunaita kupima nguvu ya mawimbo ya bahari.

Nimeondoka na hii
 
Mapenzi hayajawahi kueleweka yani....

hauwezi amini na sisi wanawake tuliojipata ambao tuna uwezo wa kujihudumia huwa hatuna muda na mapenzi wala hatutaki mapenzi 😹, yani mapenzi inakua wastage of time kwetu.

au nasema uongo bro zangu? Atoto binti kiziwi

Hiyo inatokana na matokeo ya maumivu ya kuumizwa,
Mitazamo potofu ya wanaume kwa wanawake,
Mifumo dume kandamizi kwa wanawake

Wanawake wenye kujitegemea ni watu(wanautu) wanahitaji kuheshimiwa na kupendwa kama vile wanaume tulivyo.
 
ukipata mwanamke mwenye yale mapenzi ya movie yale, yale ya kutoroka nyumbani ni kukutolea figo... hapo ndo utakuwa umetusua(na hawapo)

huyo mwenye hela bado anaweza kukusumbua

Hakuna Jambo gumu kwa mwanamke kama kukupa pesa yake aliyoitolea jasho.
Ukimpata huyo ni aidha ni Mamaako au mwanamke Mmoja na ambaye kumpata tena ni ngumu Sana.

Hao ndio wanawake wa kwenye movies. Aliowaambia Profesa Jay wa ZALI la mentali
 
Unajizima data, mabusu hayalipi bili braza
Hatujakataaa mabusu hayalipi bill na mie hela zangu ziliwe na mwanamke ambaye najua ana hela zake even though sitegemei hela zake.

Wee tafuta hela zako usiwe broke yaani kujipelekea rotana kwenda sauz with ur own money isiwe shifa.
Sasa mie nikija khkudate nakwambia bby u have worked hard let daddy take care of u.

Sio wee demu ata kujipeleka ramada huwezi alafu nikudate....i am not doing that
 
Mapenzi hayajawahi kueleweka yani....

hauwezi amini na sisi wanawake tuliojipata ambao tuna uwezo wa kujihudumia huwa hatuna muda na mapenzi wala hatutaki mapenzi 😹, yani mapenzi inakua wastage of time kwetu.

au nasema uongo bro zangu? Atoto binti kiziwi
Bro mimi sijajipata kabisa, hata ya kula tu mtihani🤣🤣🤣
 
Hatujakataaa mabusu hayalipi bill na mie hela zangu ziliwe na mwanamke ambaye najua ana hela zake even though sitegemei hela zake.

Wee tafuta hela zako usiwe broke yaani kujipelekea rotana kwenda sauz with ur own money isiwe shifa.
Sasa mie nikija khkudate nakwambia bby u have worked hard let daddy take care of u.

Sio wee demu ata kujipeleka ramada huwezi alafu nikudate....i am not doing that
Ramada mbali nauli ya kariakoo tu utume 😹
 
Hatujakataaa mabusu hayalipi bill na mie hela zangu ziliwe na mwanamke ambaye najua ana hela zake even though sitegemei hela zake.

Wee tafuta hela zako usiwe broke yaani kujipelekea rotana kwenda sauz with ur own money isiwe shifa.
Sasa mie nikija khkudate nakwambia bby u have worked hard let daddy take care of u.

Sio wee demu ata kujipeleka ramada huwezi alafu nikudate....i am not doing that

Aiseeh!
Wewe kamwe mapenzi hayawezi kukuliza.

Wanaoliliaga mapenzi wengi wao wao ndio walikuwa kila kitu kwa huyo mwanamke.
Amemsomesha,
Amemlipia Sijui rents,
Amemnunulia kiwanja😂😂
Kamwaga tofauli,
Kanunua gari,
 
Back
Top Bottom