Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Tuuweni basiNever date broken women...just find fvck forget.
Vipi kama mwanaume nae hana kitu?Never date broken women...just find fvck forget.
Njoo nikukate shingo kama mataliban.Tuuweni basi
Mwanaume ambaye hana kitu hakuna mwanamke dunia hii atampa mbususu. Kwanza broken niggas mnatukwepa kama ukoma.Vipi kama mwanaume nae hana kitu?
Sasa hauna hela hata nguvu za kukwichi unatoa wapi bro.....Njoo nikukate shingo kama mataliban.
Nyie sie tukiwa broke mnatukwepa kama ukoma na sie tukiwa nanhela tunawagegeda nankuwatupa kule
Sasa hauna hela hata nguvu za kukwichi unatoa wapi bro.....
Mapenzi hayajawahi kueleweka yani....
hauwezi amini na sisi wanawake tuliojipata ambao tuna uwezo wa kujihudumia huwa hatuna muda na mapenzi wala hatutaki mapenzi 😹, yani mapenzi inakua wastage of time kwetu.
au nasema uongo bro zangu? Atoto binti kiziwi
Unajizima data, mabusu hayalipi bili brazaNyege havizitegemee hela....mbona adamu hakuwa nanhela ila aligegeda eve mpaka wewe na mie tukazaliwa
ukipata mwanamke mwenye yale mapenzi ya movie yale, yale ya kutoroka nyumbani ni kukutolea figo... hapo ndo utakuwa umetusua(na hawapo)
huyo mwenye hela bado anaweza kukusumbua
Utakuta wanaume wasio na hela nao wako busy kukandia humu.
Hatujakataaa mabusu hayalipi bill na mie hela zangu ziliwe na mwanamke ambaye najua ana hela zake even though sitegemei hela zake.Unajizima data, mabusu hayalipi bili braza
Bro mimi sijajipata kabisa, hata ya kula tu mtihani🤣🤣🤣Mapenzi hayajawahi kueleweka yani....
hauwezi amini na sisi wanawake tuliojipata ambao tuna uwezo wa kujihudumia huwa hatuna muda na mapenzi wala hatutaki mapenzi 😹, yani mapenzi inakua wastage of time kwetu.
au nasema uongo bro zangu? Atoto binti kiziwi
Basi inabidi ujikite sana kwenye mapenzi bro, make raha ya mapenzi uwe broke.....ulishwe, uvishwe, upewe vocha hii ndio inakua rahaBro mimi sijajipata kabisa, hata ya kula tu mtihani🤣🤣🤣
Ramada mbali nauli ya kariakoo tu utume 😹Hatujakataaa mabusu hayalipi bill na mie hela zangu ziliwe na mwanamke ambaye najua ana hela zake even though sitegemei hela zake.
Wee tafuta hela zako usiwe broke yaani kujipelekea rotana kwenda sauz with ur own money isiwe shifa.
Sasa mie nikija khkudate nakwambia bby u have worked hard let daddy take care of u.
Sio wee demu ata kujipeleka ramada huwezi alafu nikudate....i am not doing that
Hatujakataaa mabusu hayalipi bill na mie hela zangu ziliwe na mwanamke ambaye najua ana hela zake even though sitegemei hela zake.