Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Zama hizi hamna kijana anajitambua, kama mtazungumzia mafanikio ni lazima mnayapata kwa kuwadanganya mishangazi au mtoe haramu
Nimekuelewa brotherSiwezi Oa mwanamke tegemezi Mimi. Huo kwa watibeli ni Mwiko.
Huoni aliniambia nimpe sababu kwenye kurasa 20 kwa nini sina gari mwaka wa Tisa huu.
Angekuwa mnafiki angekuwa anasema chinichini nyuma ya mgongo wangu.
Ooh mume wangu hivi, Mume wangu vile. Mume wangu pesa haionekani, Mume wangu hajiongezi.
Lakini mwanamke Akiwa anajiweza yeye mwenyewe mnaweza mkazungumza Black and White.
Na Sisi wengine tunapenda black and white
Mwanaume tambua kwamba mwanamke atahitaji hela kutoka kwako hata kama ni kwa kiasi kidogo,kwahiyo kama huna hela kabisa achana na mapenzi
Pili,ili upate mamlaka kwa mwanamke wako ni lazima kuna kitu ategemee kutoka kwako,kama hana atachopata kutoka kwako basi ujue hautakuwa na mamlaka naye period
Sasa kama wewe unadhani utapata mwanamke asiyependa hela ya mwanaume ni bora uwe single forever
Nimekuelewa brother
Wewe uwe muaminifu afu yeye anapigwa mitiChangamoto kubwa utakayoipata kwa mwanamke mwenye kipato ni kuambiwa uwe mwaminifu. Hilo tuu.
Lakini hawa tegemezi changamoto ni nyingi sana
Wewe uwe muaminifu afu yeye anapigwa miti
Tripple Fzingatia f3 ππ
Simps will always be there mate.Lakini wanaume mabwege hawaishi, tumewaachia kazi hiyo.
Wale wanaume wenye mitazamo ya kitumwa, kutumikishwa na wanawake, au Kupata sifa kwa wanawake
Oooh anajua kutoa pesa,
Jamani anafanya Kazi huyo kumbe ili pesa umpatie,
Kuna Yale yanaambiwa wanaume mmeumbwa mteseke, nalo unalikuta mchana kutwa kuvuja jasho ili likanunue Wigi la elfu 50, alafu huyohuyo demu anaenda kwa mshikaji ambaye hajampa hata Mia,
Yaani wanaume wengine kama waumini wa Mwamposa vile. Akili sifuri
Simps will always be there mate.
Be a real man. Never date a broke lady.
Hao sio matajiri,matajir gani ambao hawawezi kumuhudumia mwanamke,tajir anampa mwanamke ama asimamie sehemu ya biashara au anamfungulia yΓ keMatajiri wote mtazamo wao unafanana na huo niliouweka hapa.
Lazima mwanamke ambaye unaenda kumchumbia ajiweze au aonyeshe jitihada za kujikwamua.
Sijasoma, il hakuna mwanamke wa kujilisha awe na hela na mme/mpenzi.SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia 90% anakupenda.
Hii ni tofauti na hawa ambao ni tegemezi.
Usiuamini upendo wa mtu tegemezi, na aliyemaskini.
Vijana wengi wanafanya makosa makubwa kujitoa kwa wanawake tegemezi. Ni kosa kubwa kufanya hivyo.
Mwanamke anayeweza kujilisha, kujivalisha, kujitunza huyo akitafuta mwanaume hutafuta mwanaume kwelikweli kwaajili ya kuwa Mke na huyo mwanaume kuwa Mume.
Hakunaga Unafiki hapo.
Lakini hawa tegemezi, njaanjaa, wanaofikiri kuwa mwanamke ni kilema, au Tiketi ya kuwa ombaomba hao usiwaweke kwenye hesabu. Watakuumiza. Wengi wao ni wanafiki.
Wengi wao mahusiano ni ajira Rasmi.
Wengi wao huwachukulia wanaume kama Misukule yako.
Usitegemee pesa za Mwanamke. Lakini hiyo haimaanishi huyo mwanamke asiwe na pesa yaani asiwe anafanya Kazi.
Mhudumie Mkeo au mwanamke lakini naye anapaswa kujihudumia kwa sehemu. Sio umhudumie kwa kila kitu.
Utakuja kupigwa vibaya wewe.
Usitoe vyote kwa pamoja. Yaani moyo na nguvu kwa mwanamke.
Toa kimoja uache kimoja.
Mfano, Kama utatoa pesa Basi usimpe Moyo wako. Hiyo tunaita kumfanya mwanamke Malaya. Yaani unanunua huduma yake.
Kama utatoa Moyo wako Basi usimpe Nguvu zako(Pesa), hiyo tunaita kupima nguvu ya mawimbo ya bahari.
Ni kosa utoe Moyo wako wote kisha utoe na pesa. Hiyo tunasema kugeuzwa mtumwa na msukule WA Mwanamke.
Haya nimemaliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Bado iPhone 16 proHatutaki mambo mengi, tunakuomba pesa ya kulipia mzigo bandarini [emoji81]
Bro wewe ni mwenyekiti! Na mwenyekiti hawezi sema uongo!!!!! Si unamuona Mbowe?Mapenzi hayajawahi kueleweka yani....
hauwezi amini na sisi wanawake tuliojipata ambao tuna uwezo wa kujihudumia huwa hatuna muda na mapenzi wala hatutaki mapenzi πΉ, yani mapenzi inakua wastage of time kwetu.
au nasema uongo bro zangu? Atoto binti kiziwi
Msikwepe kutuhudumiaSaint Anne unasemaje