Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Mwanaume tambua kwamba mwanamke atahitaji hela kutoka kwako hata kama ni kwa kiasi kidogo,kwahiyo kama huna hela kabisa achana na mapenzi

Pili,ili upate mamlaka kwa mwanamke wako ni lazima kuna kitu ategemee kutoka kwako,kama hana atachopata kutoka kwako basi ujue hautakuwa na mamlaka naye period

Sasa kama wewe unadhani utapata mwanamke asiyependa hela ya mwanaume ni bora uwe single forever
 
Siwezi Oa mwanamke tegemezi Mimi. Huo kwa watibeli ni Mwiko.

Huoni aliniambia nimpe sababu kwenye kurasa 20 kwa nini sina gari mwaka wa Tisa huu.

Angekuwa mnafiki angekuwa anasema chinichini nyuma ya mgongo wangu.
Ooh mume wangu hivi, Mume wangu vile. Mume wangu pesa haionekani, Mume wangu hajiongezi.
Lakini mwanamke Akiwa anajiweza yeye mwenyewe mnaweza mkazungumza Black and White.

Na Sisi wengine tunapenda black and white
Nimekuelewa brother
 
Mwanaume tambua kwamba mwanamke atahitaji hela kutoka kwako hata kama ni kwa kiasi kidogo,kwahiyo kama huna hela kabisa achana na mapenzi

Pili,ili upate mamlaka kwa mwanamke wako ni lazima kuna kitu ategemee kutoka kwako,kama hana atachopata kutoka kwako basi ujue hautakuwa na mamlaka naye period

Sasa kama wewe unadhani utapata mwanamke asiyependa hela ya mwanaume ni bora uwe single forever

Matajiri wote mtazamo wao unafanana na huo niliouweka hapa.
Lazima mwanamke ambaye unaenda kumchumbia ajiweze au aonyeshe jitihada za kujikwamua.
 
Nimekuelewa brother

Narudia, usije ukajiloga ukatafuta mwanamke tegemezi. Umekwisha!

Ukioa tegemezi mkavurugana sio tuu utakuwa umepoteza mpenzi wako Bali utakuwa umepoteza na nguvu zote ulizotoa kwaajili ya mtu mjinga, mnafiki aliyekuwa amejicha
 
Wewe uwe muaminifu afu yeye anapigwa miti

Si unapiga chini?

Maumivu yake ni tofauti na Yule unayemhudumia kwa kila kitu, yaani umepoteza jasho, pesa na Muda kwaajili ya mwanamke alafu apigwe Miti. Hata ulimuacha bado utaumia Sana

Lakini ambaye anauwezo na ulikuwa hutumika nguvu nyingi hata ukigongewa maumivu yake hayawezi kuwa makali na hata ukiachana hutaumia Sana.
 
Lakini wanaume mabwege hawaishi, tumewaachia kazi hiyo.

Wale wanaume wenye mitazamo ya kitumwa, kutumikishwa na wanawake, au Kupata sifa kwa wanawake

Oooh anajua kutoa pesa,
Jamani anafanya Kazi huyo kumbe ili pesa umpatie,

Kuna Yale yanaambiwa wanaume mmeumbwa mteseke, nalo unalikuta mchana kutwa kuvuja jasho ili likanunue Wigi la elfu 50, alafu huyohuyo demu anaenda kwa mshikaji ambaye hajampa hata Mia,

Yaani wanaume wengine kama waumini wa Mwamposa vile. Akili sifuri
Simps will always be there mate.
Be a real man. Never date a broke lady.
 
Matajiri wote mtazamo wao unafanana na huo niliouweka hapa.
Lazima mwanamke ambaye unaenda kumchumbia ajiweze au aonyeshe jitihada za kujikwamua.
Hao sio matajiri,matajir gani ambao hawawezi kumuhudumia mwanamke,tajir anampa mwanamke ama asimamie sehemu ya biashara au anamfungulia yàke

Hapa tunazungumzia sisi kwangu pakavu
 
SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA)

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia 90% anakupenda.

Hii ni tofauti na hawa ambao ni tegemezi.

Usiuamini upendo wa mtu tegemezi, na aliyemaskini.

Vijana wengi wanafanya makosa makubwa kujitoa kwa wanawake tegemezi. Ni kosa kubwa kufanya hivyo.

Mwanamke anayeweza kujilisha, kujivalisha, kujitunza huyo akitafuta mwanaume hutafuta mwanaume kwelikweli kwaajili ya kuwa Mke na huyo mwanaume kuwa Mume.
Hakunaga Unafiki hapo.

Lakini hawa tegemezi, njaanjaa, wanaofikiri kuwa mwanamke ni kilema, au Tiketi ya kuwa ombaomba hao usiwaweke kwenye hesabu. Watakuumiza. Wengi wao ni wanafiki.
Wengi wao mahusiano ni ajira Rasmi.
Wengi wao huwachukulia wanaume kama Misukule yako.

Usitegemee pesa za Mwanamke. Lakini hiyo haimaanishi huyo mwanamke asiwe na pesa yaani asiwe anafanya Kazi.

Mhudumie Mkeo au mwanamke lakini naye anapaswa kujihudumia kwa sehemu. Sio umhudumie kwa kila kitu.
Utakuja kupigwa vibaya wewe.

Usitoe vyote kwa pamoja. Yaani moyo na nguvu kwa mwanamke.
Toa kimoja uache kimoja.

Mfano, Kama utatoa pesa Basi usimpe Moyo wako. Hiyo tunaita kumfanya mwanamke Malaya. Yaani unanunua huduma yake.

Kama utatoa Moyo wako Basi usimpe Nguvu zako(Pesa), hiyo tunaita kupima nguvu ya mawimbo ya bahari.

Ni kosa utoe Moyo wako wote kisha utoe na pesa. Hiyo tunasema kugeuzwa mtumwa na msukule WA Mwanamke.

Haya nimemaliza.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sijasoma, il hakuna mwanamke wa kujilisha awe na hela na mme/mpenzi.


Labda single
 
Mtoa mada umelenga mapenzi ya mjini na siyo vijijini kwa mjini itapendeza zaidi uowe mwanamke mwenye Taaluma hata ya ualimu au unesi hapo mtaheshimiana.
 
Sasa sisi ndio balaa mzee 😅
Mtu ukimpiga bill sio ya chips yai
Ni tofali bati, tyre car service.
Hata hivyo hayanaga formula
 
Hatutaki mambo mengi, tunakuomba pesa ya kulipia mzigo bandarini [emoji81]
Bado iPhone 16 pro
Nywele kwa aristote
Nguo kwa vunjabei

Kikao kiruduwe huyu alitoka kabla kikao hakijaisha.
 
Mapenzi hayajawahi kueleweka yani....

hauwezi amini na sisi wanawake tuliojipata ambao tuna uwezo wa kujihudumia huwa hatuna muda na mapenzi wala hatutaki mapenzi 😹, yani mapenzi inakua wastage of time kwetu.

au nasema uongo bro zangu? Atoto binti kiziwi
Bro wewe ni mwenyekiti! Na mwenyekiti hawezi sema uongo!!!!! Si unamuona Mbowe?

😂
 
Back
Top Bottom