Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Pole sana mkuu,
Ulikosea kuwakaribisha hao wanawake na kuwapa huduma kwa bill yako wakati ukiyemualika ni mmoja na bajeti yako haikutosha.

Anyway, kuna watu ukikutana nao unajuta, they're stupid beyond repair.
Nashangaa hadi leo watu wanapigwa kindezi hivi.
Mi nilifanyiwa huo mchezo mwaka 2000, hadi leo yule binti ni msingo maza na analea toto letu miaka 25 sasa.
 
Ujanja unachukua namba ya zao wote, na kesho yake unaanzana na rafiki yake aliye mzuri. Nishawahi wakati wa ujana kufanya hivyo!
Ulikuwa bandidu sio🤣

Na huwa hawakatai wanajua shemeji zipo! Matokeo yake mtu anakwambia takuchekiii no zako si ni zilezile!
 
Umealika Bob Marley yeye anakuja na Wallers sio sawa.
 
Tangu lini jogoo wa shamba akawika mjini ??

Ooh ngebe na majivyno yako yamekwisha sasa heshima iko wapi??

Ulivyo toka shamba kuingia mjini mm nimekuona huwezi kunitisha


Aaaaaaah, aaaaah aaaaah.....
 
Usivunjike moyo mkuu,,kumshawishi binti ya mtu hadi aamue kukuvulia nguo unahitaji uvumilivu wa hali ya juu..
Mimi mwenzio yalinikuta kama wewe,nilimwita mmoja wakaja 2, tena wali request bolt boda toka Goba hadi shekilango kila mmoja na yake.,
Nikalipa bila kinyongo,,walikula na kunywa..
Nilimnyatia hadi akaingia kingi..nikajilipa gharama zngu...
Usikate tamaa mkuu , wanawake wa sasa ndivyo walivyo wanapenda sn kupima level ya kina cha maji kabla hawajayaoga.
 
Dwa ya kudeal na Mwanamke wa aina yoyote be it from Masaki, Obay au Tandika, sema Tu Sina bajeti kubwa, na chakula au kinywaji chagua wewe, mwanzoni utaogopa kuachwa lakini huo ndio uWanaume na utakapoweza tu kujisimamia utaona kabisa huyo Demu hatakuacha kwa sababu hiyo. Atakuona we ni miongoni mwao Wanaume wachache Sana wasipelekwa na upepo wa uzuri au umbo wala Rangi yake

Soma Uzi wangu wa " Wanawake wanaojiita Hugh class"

Ukiona Msichana anakula mashoga zake wake watafune jasho lako bila wewe kuwaalika ujue amekudharau sana, na kabla hawajaja wameshakujadili kuna Fala mmoja mejichanganya twende kumkomesha🤣🤣
 
Mmmh, hakuna kushawishi siku hizi, kama bado unatumia nguvu nyingi kushawishi ili avue basi kuna shida mahali. Soma.mchezo, ukiona ni hard to get achana nae, mambo ya kushawishi tulifanya sisi in early 2000 huko.
 
Ya
Yanini yote hayo si unamkimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…