Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

Umenifurahisha.Umenikumbusha mara ya kwanza kutumia tea bag tena hotelini .Kata kamba kwenye kikombe nikakatoboa na meno nikamimina kwenye kikombe.Wenyeji wangu wakabaki wamepigwa na butwaa.Ushamba mzigo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yalikuta Dar kama wewe ila Mimi niliuliza bei ya kunyoa nikaambiwa 3,000. Mziki ukawa huko kwenye tu chumba twao tule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza umefanya kosa kutokurudi pale mkuu,ingekua ndio mm ningetafuta siku niende nikawape hai wakulungwa,

Kingine mm huwa nikienda mahali lazima niulize bei haijalishi nipo mazingira gan ila vilevile huwa naangalia na mazingira kabla ya kwenda ambapo huwa najua hata iweje hapa bia haiwezi kuzidi 5k
 
Hiki kisa pia kiliwai mtolea dogo Fred...
Alienda Barbara shop na buku....gharama halisi ni elfu 10

Nilichekaga sanaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Juzi nimempeleka mwanangu wa kiume kunyoa hapo Kaham town kunyoa, mkabala na benki ya TPB

kanyolewa na kuoshwa jamaa ananiambia 10,000 duh. nilimpa ila nkajiuliza hivi nsingetembea na hela nyingi ingekuwaje.


Sema kuna wanawake wazuri wanaosha nywele aiseee, kama ma video vixen mpaka nkachukia kwanini sijanyoa na pala langu
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimejikuta nacheka huku nnna mihasira debe
Hata Mimi nikikumbuka huwaga nacheka Sana mkuu nakumbuka siku hiyo nilivyotoka hapo nikarudi hosteli sikumsimulia mtu yeyote nikaenda zangu kulala marafiki zangu walikuja kujua baadae sanaaa niliogopa wangejua mapema wangekua wananitania mixer kunicheka πŸ˜„πŸ˜„
 
Ni kweli mkuu hata Mimi huwaga najiona kabisa nilikosea hapo natamani Kama ningeonana tena na wale majamaa lakini ndio hivyo ishatokea sikwenda kwa wakati huo
 
Nilichojifunza mkuu ni kuuliza bei sehem yoyote Ile kabla ya kupata huduma hasa unapojiona mfukoni haupo vizuri.
 
Hii story imenikumbusha nilivyoumbuka siku fulani, nikipata wasaa ntakuja kuisimulia.
Karibu nawe utusimulie mkuu naimani Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa chako, Maranyingi matukio Kama haya yanatokea wakati hauna kitu mfukoni au unakiasi kidogo Sana ambacho hakiwezi kukusaidia.
 
Hao usanii mwingi sana,
Siku nikazama barbershop moja kino.
Kwanza reception unajiandikisha.
Kutoka hapo ikawa kunyolewa Kkikaja kidem kimoja osha sana kichwa pakwa mafuta yao.
Then nikaambiwa nna chunusi nyingi.
Ikabidi kuzama rum ingine.
Huko nikachomwa hizo chunusi safishwa.
Naambiwa nimechoka sana
Nipewe massage.
Nikamwambia aendelee.
Mwisho naulizwa
Kuna rum ingine tukamalizane.
Buku 30😁
Nikajibu no.
Narudi reception bill buku 50
Boss.
Daah nikalipa na kuondoka haraka sana.
Ningeenda kitaa hapo pembeni tu nilipozoea 2500 shamaliza kila kitu.
Nikaona poa tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka Sana wasee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…