Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Hii imetokea himo au?
 
Usilete. wenge mbele ya chuma utakufa kizembe toa ulichonacho usilete ubishi pesa hujazaliwa nazo,kama unaamuwa kujitoa muhanga usikimbie pambana umpokonye silaha
 
Usilete. wenge mbele ya chuma utakufa kizembe toa ulichonacho usilete ubishi pesa hujazaliwa nazo,kama unaamuwa kujitoa muhanga usikimbie pambana umpokonye silaha
Huu ndio ustelingi wenyewe na kufa hapo ni chapchap..Unamiminiwa nyingi nyingi...🤣🤣🤣
 
Huu ndio ustelingi wenyewe na kufa hapo ni chapchap..Unamiminiwa nyingi nyingi...🤣🤣🤣
Unakutana na jamàa km Poker kashakula mibange na midude kibao ya kutoa wenge kichwani alafu unataka umpole silaha anakuona km Panya msumbufu tu anakumiminia vyuma km vyote
 
Unakutana na jamàa km Poker kashakula mibange na midude kibao ya kutoa wenge kichwani alafu unataka umpole silaha anakuona km Panya msumbufu tu anakumiminia vyuma km vyote
Kitendo cha kuwaona tu hao jamaa akili inadata sasa uskie na shaba zimelia 🤣🤣🤣 unaweza ukazimia mapema tu!
 
Naomba unisaidie kutafsiri alichomaanisha kwenye hii sentensi yake .

Je mtu akimtania mkewe hivyo atafurahi.?
Tafsiri yake haina maana nzuri kabisa na utani kama huu sio mzuri, Kiufupi Gily hana ustaarabu kabisa na hapo alivuka mipaka ya utani...

Nakuomba usamehe tu bestie kwani hata mkiendelea kuzozana haita saidia ila mtafedheheshana wote na itakuwa sio busara, Funika Kombe mwanaharamu apite...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…