IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
- Thread starter
- #21
Hapana sikulewa kiivyo ila nilikua na kavaibu flani hivi..Pole
Vipi ulilewa sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sikulewa kiivyo ila nilikua na kavaibu flani hivi..Pole
Vipi ulilewa sana?
Uzuri nilikua nafahamu vizuri maeneo yale...Siku nyingine usikimbilie kaunta hilo ni eneo lengwa wakati wa ujambazi kimbilia chooni kama ukiona kulala chini ni hatari zaidi.
Kweli mkuu sante sana..Aiseee pole sana mkuu MUNGU hakuiandika siku hiyo tamati ya maisha yako
Hatari sana jamaa wanatisha sana..Ilitokea hapo Kino meridian, hawakua na nia kupora walevi ila wamekimbizana na mtu wao huko kaingia mle mbio karuka kaondoka nyuma kuna chimbo pale.
WaCuba tunajua.
Hatujakaa vizuri jamaa hawa hapa vyuma viko juu zikapigwa mbili juu ta ta aah ukiskia hivyo lala chini tu sio kukimbia ka mwehu.
Acha simu counter nilikua nimekaa hapo na Deborah ananihudumia.
Jamaa wamemtafuta wamkosa aliruka ukuta mi namuona.
Aah wakarudi huku wakasachi kila mtu wakatimka.
Nilikua na Nokia vile vidogo nusu keypard nusu screen wakalamba
enzi hizo ndo smart Phone.
Kwani kosa lilikuwa kumwagilia Moyo??Na bado unaumwagilia moyo ? Ningeokoka on the sport.
Basi tu hao mababiloni wakiamua lao hadi litimie
Kweli mkuu..Hela inatafutwa, uhai ni mara moja
Kweli kabisa mkuu!Hela inatafutwa, uhai ni mara moja: Kuna jamaa yangu au bocy wangu back in the day nikiwa Arusha, alikuwa wa mererani.
Mtu mwema sana, ila akilewa alikuwa anapenda sana kushika shika bastola yake, mimi nikishamwona mtu ni limbukeni huwa nakaa mbali.
Nikaondoa social life na yeye kabisa, ukishakuwa mtu mzima na watoto lazima uishi maisha mazuri na yanayoeleweka sana, ukocheza, unaacha watoto wanateseka.
Usingekubali kuchukuliwa mali zako kirahisi mbele ya AK 47 zaidi ya nne siyo???Niliamua kukimbia kwakua nilijua ingekua ni shida kwani nisinge kubali kirahisi kuchukuliwa mali zangu
Wangeniua mapema sana maana ningejifanya stelingi 😂😂Usingekubali kuchukuliwa mali zako kirahisi mbele ya AK 47 zaidi ya nne siyo???
Haina noma umeshinda [emoji4]
Siku hizi natumia maeneo ya nyumbani kwani ilikua hatari siku hiyo...Acha sasa! Kuenda bar
Waliiba niniHabari wanajamii,
Salam kwenu na natumai nyote ni buheri wa afya, Naona nielekee kwenye hoja husika.
Ilikua ni siku ya mapumziko(weekend) siku ya jumapili tarehe 22 ya mwezi wa 9 mwaka 2007 maeneo ya mbezi beach eneo linafahamika sana kwa jina alimaarufu (Africana) njia ya kuelekea whiteSands au kwa zena, maeneo hayo kuna bar maarufu sana inafahamika kwa jina la highbury hapo ndipo lilikua eneo langu la kupumzisha akili baada ya mihangaiko ya kutwa nzima.
Siku hiyo ilikua ni mapumziko na ilikua ni jumapili nilitoka jioni na kuelekea kwenye hilo chimbo kumwagilia moyo na kampani ya wadau kadhaa kama ilivyokuwa kawaida yetu kujumika pamoja na kupata viburudisho kadhaa na kujiopolea warembo katika bar hiyo na walikua wazuri kweli kweli, Sasa wakati tukiendelea kumwagilia moyo hapo mdaa uliendelea kusonga hadi ilipofika majira ya saa nne(4) usiku ziliingia gari mbili aina ya land cruiser nyeusi na walishuka mababiloni nane(8) wakiwa wamevalia makoti marefu meusi na kofia aina ya Pama huku wakiwa wamefunika nyuso zao na walishikilia silaha aina ya mtutu(A.K.A 47) ghafla ulisikika mlio mkali wa risasi mbili zilizopigwa hewani na kuamuru watu wote tulale chini na tutoe kila tulichonacho tuweke pembeni, Sasa mimi wakati wa hamaki zikiendelea na purukushani za watu kujihami na vurumai zile nikaona nikimbilie counter kwakuwa nilijua kuna mlango wa nyuma nilifanikiwa ila huu ndio ungelikua mwisho wangu wa maisha kwani kati ya wale majambazi alifyatua risasi iliyonikosakosa usawa wa kichwa na kwenda kupiga nguzo za counter na kuacha tundu(shimo) kubwa sana.
Nashukuru nilifanikiwa kuokoa maisha yangu siku hiyo maana ilikua ni hatari sana hata kupelekea wahudumu wawili kufariki palepale baada ya kupigwa na risasi siku hiyo na baadhi ya wateja waling’olewa meno kwa kupigwa na vitako vya mtutu wakati wa uporwaji wa mali walizokua nazo siku hiyo.
Hili tukio sitakuja kulisahau maishani mwangu kabisa na huwa namshukuru mungu kwa ujasiri alionipa siku hiyo.
Huo ndio usenge usenge unaofanya nisiende kupiga vyombo sinzaHela inatafutwa, uhai ni mara moja: Kuna jamaa yangu au bocy wangu back in the day nikiwa Arusha, alikuwa wa mererani.
Mtu mwema sana, ila akilewa alikuwa anapenda sana kushika shika bastola yake, mimi nikishamwona mtu ni limbukeni huwa nakaa mbali.
Nikaondoa social life na yeye kabisa, ukishakuwa mtu mzima na watoto lazima uishi maisha mazuri na yanayoeleweka sana, ukocheza, unaacha watoto wanateseka.
Huo ndio usenge usenge unaofanya nisiende kupiga vyombo sinzaHela inatafutwa, uhai ni mara moja: Kuna jamaa yangu au bocy wangu back in the day nikiwa Arusha, alikuwa wa mererani.
Mtu mwema sana, ila akilewa alikuwa anapenda sana kushika shika bastola yake, mimi nikishamwona mtu ni limbukeni huwa nakaa mbali.
Nikaondoa social life na yeye kabisa, ukishakuwa mtu mzima na watoto lazima uishi maisha mazuri na yanayoeleweka sana, ukocheza, unaacha watoto wanateseka.
Ushujaa wote kusikia mlio tu kazimiaKuna mwana hapa kijiji anaitwa Deo Lyimo amukula chuma Ile siku ya May mosi
Walikuwa wametoka msibani wakasema ngoja waingie bar wale safar mbil 2 then ndio watembee mm mkawaimbia naumwa siwez kula pombe
Mkawasha bike yangu huyo nkatembea,nimefika home tu napigiwa simu washikaji zako huk wamekufa
Kumbe bwana ,baada ya kulewa wakawa wamepakizan Kwa bike wakati wapo njiani jamaa na gar yake akawa akawa kama anatak kuwagonga
Jamaa akaapita na gar wakamuwah Kwa mbele na pikipk wakamblock wanatka kumletea vurugu
Jamaa kazama ndan ya gar katoa chuma akataka kupiga juu but sabab ya ulevi ikamshinda nguv akamfikia jamaa yangu Deo Kwa kifua chuma ikamfumua mapafu yote,yule mwingn baada ya kuskia mlio akazimia
Majuz ndio tumemzika
Wachana na mtu wenye silaha ya aina yeyote hasa akiwa na hasira
Huyo jamaa hakuzimia alikimbiaUshujaa wote kusikia mlio tu kazimia
Iisasia ukisikia tambua umesalimikaHabari wanajamii,