Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Hatari sana jamaa wanatisha sana..
 
Kweli kabisa mkuu!
 
Waliiba nini
 
Huo ndio usenge usenge unaofanya nisiende kupiga vyombo sinza
 
Huo ndio usenge usenge unaofanya nisiende kupiga vyombo sinza
 
Kuna mwana hapa kijiji anaitwa Deo Lyimo amukula chuma Ile siku ya May mosi
Walikuwa wametoka msibani wakasema ngoja waingie bar wale safar mbil 2 then ndio watembee mm mkawaimbia naumwa siwez kula pombe

Mkawasha bike yangu huyo nkatembea,nimefika home tu napigiwa simu washikaji zako huk wamekufa

Kumbe bwana ,baada ya kulewa wakawa wamepakizan Kwa bike wakati wapo njiani jamaa na gar yake akawa akawa kama anatak kuwagonga
Jamaa akaapita na gar wakamuwah Kwa mbele na pikipk wakamblock wanatka kumletea vurugu
Jamaa kazama ndan ya gar katoa chuma akataka kupiga juu but sabab ya ulevi ikamshinda nguv akamfikia jamaa yangu Deo Kwa kifua chuma ikamfumua mapafu yote,yule mwingn baada ya kuskia mlio akazimia


Majuz ndio tumemzika
Wachana na mtu wenye silaha ya aina yeyote hasa akiwa na hasira
 
Ushujaa wote kusikia mlio tu kazimia
 
Iisasia ukisikia tambua umesalimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…