Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Kwahiyo mkuu hao mabilioni unauhakika walikua 8uliwahesabu? Vipi kuhusu makoti makubwa na mapama walivaa sare au, hakuna baa inayowasha taa kubwa usiku ilikuwaje uweze kuwatofautisha na o hao mabilioni na wateja wengine wote (umesema baa maarufu) hizo land cruiser 2 nyeusi iliziona kwa macho, inaonekana ulikua umekaa karibu na kauntaee, kwahiyo waliingia tu nakuanza vurugu?
 
Shida yako hajawahi kubwa ...na action kama hii..

Nimejaribu kusamarazi.....kuwa uyaone!
 
Chai
 
Mkuu ulifanya uwehu na upumbavu Sana..why ukiamua kukimbia aisee,
 
Dah huu wizi wakuvamia ma-bar naona umeshaisha siku hizi, maana sijasikia siku nyingi sana uvamizi wa aina hii. Ingawa mm sikuwahi kukumbana nao
 
Pole


Vipi ulilewa sana?


Unakimbiliaje kaunta[emoji23]
Kiwewe, mimi jamaa waliingia bar baada ya kufumua risasi kadhaa hewani nikakimbilia store wanakohifadhi makreti, jamaa mmoja akanifuata akakuta nishafunga komeo kwa ndani anaita nimfungulie wkt huo nishaingia nyuma ya makreti.

Imagine hiyo bar haina fensi lkn kwa kuwa nilikuwa krb na mlango wa store niliona ndio safe.
 
Pole sana kaka siyo kwamba ulikoswa ni kwamba Mungu anajaalia uwe salama.

Observe and take pose ndiyo kila kitu kwasababu hamkuwa na silaha na nyinyi ilikuwa ni ngumu sana kupambana hivyo sikulaumu hata pia sikudharau.

Mapambano yana mengi kaka.
 
Kuna dada mmoja wa kisukuma aliuawa kwa shaba mjini masasi aliacha kazi benk akawa wakala wa bia wazee wa kazi wakamuotea kuwa ana cash ndani ile wamefika wamemuambia atoe pesa akaleta ubishi akpigwa shaba na mzigo ukachukuliwa
Hao wakisema toa pesa usiwabishie, zipo wape waondoke.
Muda mchache sasa ubishe nini?
Ukileta ujinga wanakumwaga ubongo.
 
Pole jamaa maisha Yana mambo mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…