Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Kuna dada mmoja wa kisukuma aliuawa kwa shaba mjini masasi aliacha kazi benk akawa wakala wa bia wazee wa kazi wakamuotea kuwa ana cash ndani ile wamefika wamemuambia atoe pesa akaleta ubishi akpigwa shaba na mzigo ukachukuliwa
Tatizo wako chukua kwa rahisi polisi wanasema umesaidiana nao
 
Tukupe mbinu za kivita siku nyingine ukisikia risasi lala chini .kukimbia hii ni hatari unampa udui mwanya akupige kirahisi.acha unanga usiludie tena
 
Tukupe mbinu za kivita siku nyingine ukisikia risasi lala chini .kukimbia hii ni hatari unampa udui mwanya akupige kirahisi.acha unanga usiludie tena
Ilinibidi tu kukimbia kwa sababu niliwaona since wapaki magari wakishuka hivyo sikuwa na option zaidi ya hiyo..
 
Pole sana. Walikamatwa?

Amandla...
 
Unapunguza kdgo risk za maisha
 
Tatizo movie zina wadanganya ulijiona van ndame au cheknoris
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…