IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
- Thread starter
- #101
Mmh! Jamaa wanasura ngumu acha tu yani ni weusi hatari 🤣🤣Hawatishi ni zile bunduki tu ndio zinawabeba Wakishapotez mtutu then mkawaweka Kati wote wanalia na kuomba MAJI.