[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] kala vitasa anaona aibu kusema tuAngekukwangua na makucha usingeileta hii mada hapa ati mmetwangana makonde, ni wazi alikuchakaza style ya Van Dame mixer Bruce lee, [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiUlivyoandika ni kama vile bado yupo hapo anakutandika makonde
Alivyofungua kukupa vitu vyako jamaa hakupita na wewe kweli?demu alifunga mlango
Ni nyumba ya mtu ila wamepangisha wanafunzi tu afu kwa kukudokeza tu yule dada ni malaya iko hv kipindi cha nyuma nilishaenda kulala pale mara kadhaa lkn ukifika wale wadada wengine chumba cha pili utasikia wanacheka achilia mbali ilo pia kuna siku tupo ndan kuna mtu aligonga mlangoni aligoma kufunguaHuwezi kuja hostel kupigana na demu wanachuo tukakuacha hata uwe baunsa kiasi gani. Pia huwezi kuwa stranger tena mgumu wa kuhonga 10k kisha ukalala hostel, hiyo hostel ulienda kulala ama kukaa lakini huwezi ingia. Haijalishi ni Kampala au Ardhi.
Labda useme ulienda ghetto kwake
Alivimba haikuwa kesi ndogo soo lilifika mpaka mtaan ugomvi haukuishia hapo uliendelea ila nimefupisha storiAlivyofungua kukupa vitu vyako jamaa hakupita na wewe kweli?
Itakuwa humupiga vizuri demu kama alipata nguvu za kusimama na kwenda kukuletea vitu vyako ndani
Hakuvuja damu wala kuvimba popote siyo...
Ngumi zako hazikuwa na uzito wa kiume
hakung'atwa mtu baba ni mkono na vichwa ndio vilitumika siku ioUlipoanza kung'ata ndipo nilipokuona hufai
Hapo sawa maana Kampala wana nyumba za nje nyingi sijui nazo wanaita hostel za nje au ni za kupanga za kawaida. Kuna jamaa kaenda uko jana alipomaliza UE. Anarudi wiki ijayoNi nyumba ya mtu ila wamepangisha wanafunzi tu afu kwa kukudokeza tu yule dada ni malaya iko hv kipindi cha nyuma nilishaenda kulala pale mara kadhaa lkn ukifika wale wadada wengine chumba cha pili utasikia wanacheka achilia mbali ilo pia kuna siku tupo ndan kuna mtu aligonga mlangoni aligoma kufungua
ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza nae bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga ykeAlivimba haikuwa kesi ndogo soo lilifika mpaka mtaan ugomvi haukuishia hapo uliendelea ila nimefupisha stori
Ingekuwa laki si angemnyonya damuWanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
alishakataa nissingie ndanSiungekula chakula ukaondoka🤣🤣 maake ulitoa hela ya chakula.
Aliekuzaa nje ya ndoa ndo malaya sio mimi...alafu sio kosa langu wewe kua masikini.
ww utakuja kuua bule mwanamke apigwi kifuani akikuudh we mpige kwenye tumbo sasa kama anatoa tigo usiombe lazima atoe MISHUZI ngumi moja SHUZI moja matataNakumbuka niliondoka kijijini kwetu kwenda mjini kusoma tuition likizo ya mwezi wa sita kipindi hicho niko kidato cha nne. Nilikaa mjini muda wa mwezi mzima. Ile siku narudi niko njiani kwa miguu mida ya jioni nilikutana na manzi nilikuwa namzimikia balaa. Akiwa bado mbali nilijiapiza siku hiyo lazima kieleweke maana nilishamfatilia hapo kabla lakini holaa! Tulipokutana nikamuomba asimame! Hakutaka, ikabidi nimlazimishe kusimama. Manzi alipandisha mori, mwanzo nilijua masihara, alinikwida akanirushia konde moja hapo ndo akili ilinikaa sawa. Ikabidi nijitetee. Nilimpa konde moja imeshiba, ilitua usawa wa kifua juu kidogo ya matiti, Dogo alienda chini bila kupenda pamoja na kuwa alikuwa ameshachana shati langu nikabakiwa na singred tu. Zilifuatia lawama kwenye familia japo baadae yaliisha.
nyinyi ndo wale wale wapigaji tu !!! hata aibu hamuoni hv kwann mpo hiviKumbe ulikuwa mgeni kwenye mapenzi? Ndiyo maana elf 10 ilikuuma sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana, ndiyo changamoto kama kujikwaa kidole cha mguu
we ulitaka apigane kwa shilling ngapi?Huyu atajaenda jela kwa kosa la kijinga, wenzake wanahonga Hadi nyumba yeye buku kumi anapigana kabisa
Sikia ata uwe na roho mbaya kiasi gan huwezi kumtwanga mwanamke ngumi full package au kichwa full package utapiga lkn lazima utumie balance kuhakikisha ngumi inampata na kumtia adabu na sio kumuumiza lengo langu lilikuwa ni kumtia adabu na si kumuumiza ivo nilitumia balance sana sikurusha ngumi kwa nguvu zangu zote ningeuaikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza nae bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke
Kwa haya[emoji3516]maelezo yako sidhani kama ni ya kweli mkuu
Mgumi ya mwanaume aliyekomaa na kusumbuliwa kutuma na ya kutolea kweli arushe ngumi kwa mwanamke tumboni kwake na ampige kichwa cha kiume sidhani kama angebaki mtu hapo
Anyway!!nisikuchambue na kukuuliza sana mkuu
Wewe nahis ndo demu mwenyeweSikupigwa ebu soma vzr mbona nimeadithia kila kitu wale viumbe sio wa mchezo mchezo ukitake easy utashangaa kashakuzid nguvu