Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Akikuitia mwizi usikimbie watu wakija waelezee ilivokuwa
Wabongo uwa hawaulizi wanafika na kuanza kupiga. Kila mtu atakuwa na story yake juu ya wizi wa marehemu baada ya tukio. Mwingine atasema marehemu alikamatwa akiiba simu, mwingine marehemu alitaka kumbaka mdada, mwingine marehemu aliiba bikini
 
kabisa...Yaaani...unakuja kusema umepigana na Ke ...kisa eti elfu kumi.....umasikini na ukuandame maisha yako yote.
nyinyi ndio mnasababisha wanawake wote tuwaone MALAYA yaani JANAMKE ZIMA OVYO linasubiri lipewe pesa bure eti elfu 10 kwan sio hela mbona ujawai KUINYA huko chooni unapoendaga pesa inatafutwa ata malaya pia wanafanya kaz tena ukienda tandale mpaka 2000 wagongwa sasa ww upo huku kati unasubili kupiga mizinga tu mtapigwa tu labda ukutane na mwanaume asiyejitambua

SHWAIN
 
Wabongo uwa hawaulizi wanafika na kuanza kupiga. Kila mtu atakuwa na story yake juu ya wizi wa marehemu baada ya tukio. Mwingine atasema marehemu alikamatwa akiiba simu, mwingine marehemu alitaka kumbaka mdada, mwingine marehemu aliiba bikini
kuna kipindi inabid utumie mbinu za hatar kuepuka soo najua wabongo hawaulizagi lkn kusimama ni bora kuliko kukimbia ukikimbia wakikuona wakikunasa jua umekwisha afadhali usimame watakusikiliza kidogo japo unaweza pata shida inabid uwe fasta kuongea tena kwa sauti ili kila mtu aelewe kilichokuwa kinaendelea sasa ukiwa domo zege utashangaa ndio basi tena ushaanza kupokea kichapo
 
Bro unaishi tz kweli wewe! Yaan mbaka ujielezee ushapasuka taya
 
Why uchukue risk kiasi hicho kwa mambo madogo? Ukihonga kwa mwanamke ambaye siyo mke wako mkiachana achana nayo tu. Hasa hawa wanafunzi wa hostel ukiwafuata kibabe hawakawii kukuggeuzia kibao.
 
Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
[emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
 
Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Mbona mnaomba elfu 10 kama ni kiasi kidogo sana

Embu ficha ujinga wako tyako wewe
 
Kama hawana hela na ni wachafu si muwe mnawakataa, yeye kama alijua hataki kuonana na jamaa si angemwambia tu asitume. Yani ushakula ten la msela alafu unaleta drama?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🀣🀣🀣🀣🀣

 
JF bhana!!

Watu wametoka kwenye baseline ya kudiscuss kwanini demu achukue hela then alete ujanja na kuhamia kwenye kusema jamaa bahili,kwamba elfu kumi sio hela..ni kweli ni hela ndogo

Swala hapa ni kuonekana boya regardless of how much umempa huyo msichana..

Either way approach ya kupigana naye ingeweza kubackfire na kumletea athari zaidi mleta mada
 
kilichoniuma sio hela wadau kilichoniuma ni kunidanganya pia ela yangu kupikiwa mwanaume mwingine
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We ulijuaje kama hela yako kapikiwa mwanaume mwengine?, au washikaji walikutia moto?. Ila umenifurahisha sana mwanangu, hadi nimetamani nikujue. Kila nikisoma nacheka tu
 
H
Niligundua ndan kuna mtu maana aligoma nisiingie ndan akalock mlango na funguo kisha mtiti ukaendelea nje lakin kipind anafunga mlango japo alifunga kwa kasi lakini niligundua ndan kulikuwa na mtu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Huyo mwanaume nae kinega kweli, kashindwa hata Kuja kuamulia. Au na yeye mchepuko.
 
Utatumbukiza tu Sana Cha peke yako kaburi mengine yote Ni mwendo wa kushare tu hamna namna. Na ukijifanya kijogoo unaenda kunyooka segerea huko papuchi huioni Hadi unazeeka
Hata kaburi maiti zinashea, hujaona maiti za Corona au Genocide!
 
Haitokuja kutokea mimi nipigwe na demu mana sio kwa mbavu nilizonazo naisi nikimkamata navunja matako nafuata sura naweka ngeu za kutosha alafu namwambia aondoke zake
 
Mungu akubaliki bwana nashukuru kwa kuisoma situation na kuielewa hawa wanawake vitu km hv huwa wanaziba macho kwenye ile point kisha wanazungumzia kias cha pesa hakuna kitu kibaya km kuonekana lofa ata 5000 ukipigwa kilofa lazima roho ikuume ela ya bia mbili io

NOTE ; wanawake wa siku hz ni wapigaji ivo ata tukiwaelezea hawataweza kukubali wanafurah sn wakituona maboya huku tukiwatumia pesa kadri wanavyojisikia
 
Haitokuja kutokea mimi nipigwe na demu mana sio kwa mbavu nilizonazo naisi nikimkamata navunja matako nafuata sura naweka ngeu za kutosha alafu namwambia aondoke zake
Ujawah kung'atwa ww au kukwanguliwa na makucha au kuchania wanawake utawapiga lkn not easy bro ukizubaa ashakuzid nguvu zaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…