sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Wabongo uwa hawaulizi wanafika na kuanza kupiga. Kila mtu atakuwa na story yake juu ya wizi wa marehemu baada ya tukio. Mwingine atasema marehemu alikamatwa akiiba simu, mwingine marehemu alitaka kumbaka mdada, mwingine marehemu aliiba bikiniAkikuitia mwizi usikimbie watu wakija waelezee ilivokuwa
nyinyi ndio mnasababisha wanawake wote tuwaone MALAYA yaani JANAMKE ZIMA OVYO linasubiri lipewe pesa bure eti elfu 10 kwan sio hela mbona ujawai KUINYA huko chooni unapoendaga pesa inatafutwa ata malaya pia wanafanya kaz tena ukienda tandale mpaka 2000 wagongwa sasa ww upo huku kati unasubili kupiga mizinga tu mtapigwa tu labda ukutane na mwanaume asiyejitambuakabisa...Yaaani...unakuja kusema umepigana na Ke ...kisa eti elfu kumi.....umasikini na ukuandame maisha yako yote.
kuna kipindi inabid utumie mbinu za hatar kuepuka soo najua wabongo hawaulizagi lkn kusimama ni bora kuliko kukimbia ukikimbia wakikuona wakikunasa jua umekwisha afadhali usimame watakusikiliza kidogo japo unaweza pata shida inabid uwe fasta kuongea tena kwa sauti ili kila mtu aelewe kilichokuwa kinaendelea sasa ukiwa domo zege utashangaa ndio basi tena ushaanza kupokea kichapoWabongo uwa hawaulizi wanafika na kuanza kupiga. Kila mtu atakuwa na story yake juu ya wizi wa marehemu baada ya tukio. Mwingine atasema marehemu alikamatwa akiiba simu, mwingine marehemu alitaka kumbaka mdada, mwingine marehemu aliiba bikini
Bro unaishi tz kweli wewe! Yaan mbaka ujielezee ushapasuka tayaUsije shangaa unapokea kichapo cha mwizi wewe maana watu wakija gundue sio mwizi ni ugomvi tu wa kimapenz hakiyanani sijui nini kitatokea vitu vengine muwe mnatumia akili mm ukiniitia mwiz sikimbii wala nn nasimama apo apo watu wakija nawaelezea ilivyokuwa
Why uchukue risk kiasi hicho kwa mambo madogo? Ukihonga kwa mwanamke ambaye siyo mke wako mkiachana achana nayo tu. Hasa hawa wanafunzi wa hostel ukiwafuata kibabe hawakawii kukuggeuzia kibao.kuna kipindi inabid utumie mbinu za hatar kuepuka soo najua wabongo hawaulizagi lkn kusimama ni bora kuliko kukimbia ukikimbia wakikuona wakikunasa jua umekwisha afadhali usimame watakusikiliza kidogo japo unaweza pata shida inabid uwe fasta kuongea tena kwa sauti ili kila mtu aelewe kilichokuwa kinaendelea sasa ukiwa domo zege utashangaa ndio basi tena ushaanza kupokea kichapo
UnanikjunguruMtapigwa mpaka mchakae! Nguruwe
Mnapiga waliozubaa ngoja siku ukutane na mziki huu utalamba manii yako.Mtapigwa mpaka mchakae! Nguruwe
[emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Mbona mnaomba elfu 10 kama ni kiasi kidogo sanaWanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Kama hawana hela na ni wachafu si muwe mnawakataa, yeye kama alijua hataki kuonana na jamaa si angemwambia tu asitume. Yani ushakula ten la msela alafu unaleta drama?
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba,kutembea kwa malingo,kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika
Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lkn baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period ivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period nikamwambia mm nakuja ivo ivo lkn hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihis kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana nae mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndan alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza nae bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa
Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje
😂😂😂😂 We ulijuaje kama hela yako kapikiwa mwanaume mwengine?, au washikaji walikutia moto?. Ila umenifurahisha sana mwanangu, hadi nimetamani nikujue. Kila nikisoma nacheka tukilichoniuma sio hela wadau kilichoniuma ni kunidanganya pia ela yangu kupikiwa mwanaume mwingine
😂😂😂😂. Huyo mwanaume nae kinega kweli, kashindwa hata Kuja kuamulia. Au na yeye mchepuko.Niligundua ndan kuna mtu maana aligoma nisiingie ndan akalock mlango na funguo kisha mtiti ukaendelea nje lakin kipind anafunga mlango japo alifunga kwa kasi lakini niligundua ndan kulikuwa na mtu
Hata kaburi maiti zinashea, hujaona maiti za Corona au Genocide!Utatumbukiza tu Sana Cha peke yako kaburi mengine yote Ni mwendo wa kushare tu hamna namna. Na ukijifanya kijogoo unaenda kunyooka segerea huko papuchi huioni Hadi unazeeka
Mungu akubaliki bwana nashukuru kwa kuisoma situation na kuielewa hawa wanawake vitu km hv huwa wanaziba macho kwenye ile point kisha wanazungumzia kias cha pesa hakuna kitu kibaya km kuonekana lofa ata 5000 ukipigwa kilofa lazima roho ikuume ela ya bia mbili ioJF bhana!!
Watu wametoka kwenye baseline ya kudiscuss kwanini demu achukue hela then alete ujanja na kuhamia kwenye kusema jamaa bahili,kwamba elfu kumi sio hela..ni kweli ni hela ndogo
Swala hapa ni kuonekana boya regardless of how much umempa huyo msichana..
Either way approach ya kupigana naye ingeweza kubackfire na kumletea athari zaidi mleta mada
[emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa laki si angemnyonya damu
Ujawah kung'atwa ww au kukwanguliwa na makucha au kuchania wanawake utawapiga lkn not easy bro ukizubaa ashakuzid nguvu zamanHaitokuja kutokea mimi nipigwe na demu mana sio kwa mbavu nilizonazo naisi nikimkamata navunja matako nafuata sura naweka ngeu za kutosha alafu namwambia aondoke zake