Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Unajua kipato chake kikoje au aliamua ku compromise kitu gani Ili ampe iyo hela? Tusilaumu bila kuchunguza.
 
Yaan umewaza kama mm..ningeita mwizi angejuta kunijua, ananipiga kama nani? Wanaume njaa wana tabia mbaya sana.
Unajua kosa la kumuitia mtu mwizi ni sawa na kuua?! Hapo mawili unaweza pata mkong'oto kwa raia au pia unaweza kufikishwa polisi nakesi mahakamani ambayo itaishia na kifungo maana hiyo ni jinai.

Sasa sijui kama upo tayari kuingia huko sababu umechagua kupelekeshwa na akili yako.

Hivi mfano mtoto wa watu kaitiwa mwizi akapigwa akauwawa, uchanguzi wa polisi ukabaini si kweli, utajibu nini kwa wazazi wake?!

Tufanye kapigwa amekufa hapo wewe utaishi vipi na damu ya mtu kutokana na kifo ambacho ni matokeo ya wewe kumbambikia kosa au kesi ambayo hajafanya.

Mimi nitakaa hapo raia wanikute na wewe unaita mwizi. Nitajitetea vizuri na wewe utaongea uthibitishe nimekuibia nini na saa ngapi.

Sasa balaa lake utaona hapo ukweli ukijulikana. Aiseeee huwa sipigi mwanamke ila utanisamehe kipigo nitakachokupa hapo. Nitakupa mkong'oto wa maana hadi nahakikisha hauwezi kutembea upo hoi ndio nakuacha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka

Wanaume wengine mnatufanya wote tuonekane mafala, unawezaje fanya yote haya kwa mwanamke na kumzalilisha kwa kiwango hiki?
 
Kilichoniuma sio ela kilichoniuma ni ela yangu kupikiwa msosi mwanaume mwingine
Kawaida sana hiyo acha uoga kwani ulimkuta na bikira? Utakufa maskini usipobadilika pia inaonekana wewe ni Domo zege.Tunapiga sound mpaka chumba wanalipia wao
 
Kawaida sana hiyo acha uoga kwani ulimkuta na bikira ? Utakufa maskini usipobadilika pia inaonekana wewe ni Domo zege.Tunapiga sound mpaka chumba wanalipia wao
Sound !!!!!!!! Soumd !!!!!!! Nyingi unaonekana mswahili

Ila upo sahihi
 
Back
Top Bottom