SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Unajua kipato chake kikoje au aliamua ku compromise kitu gani Ili ampe iyo hela? Tusilaumu bila kuchunguza.Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi