Chaukorofi
Member
- May 6, 2023
- 95
- 127
Akiwa anatumia dawa vizur hupatiIts true,na inasemekana kuwa hawa wanaotumia dawa ukienda kupima na rapid test wadudu hawaonekani,yaani nikiwaza hapo nasema wacha tu nibaki njia kuu maana nimeshapoteza marafiki na ndungu wengi sana,nakumbuka katika jamaa waliotangulia kuna aliyefikia mpaka kutoka funza kwenye mwili ni kama alikuwa anaoza,aisee hii kitu ni hatari sana,HIV is real...
Nakataa. Kirusi hakitembei bila media sasa yale maji maji ya ukeni yanasafirije kwenda huko? Halafu maji maji ya ukeni kama mwanamke anatumia dozi basi yanakuwa na maambikizi very rare. Bila michubuko no HIV transmission ndiyo maana tulihimizwa jando ili kuimarisha ngozi ya uume isipate michubuko kirahisi wakati wa tendo halali. Yani kama ukifanya mapenzi unachubuka basi jitafakari sana!Wewe umeongea kitu cha msingi ambacho watu wengi hawakielewi.
Wanadhani eti virusi vinapitia ktk michubuko ya uume kwa nje tu. Wakati kumbe virusi vinapita kwenye ngozi laini ya ndani ya tundu la uume (Epithelium cells). Hizo cells ndo zina receptors nyingi za wadudu wa HIV kuliko hata lingozi la nje
Kombe gani tena hilo jamani?Kumbe ulishajinyakulia kombe mwamba?
Hukuwahi kuisikia Makete wewe. Niliwahi kwenda Makete miaka ya 2000 nikiwa mdogo makaburi niliyokuwa nayaona kwenye familia karibu nichizike! Unakuta familia imetandaza mkeka makaburi zaidi ya 10 na ni nyumba kwa nyumba. Achilia mbali hao wagonjwa waliojilaza nje kwenye vizulia kimguu na kipaja ukiangalia unaweza kukimbia. Aisee nyie acheni huu UKIMWI ukae tu kama ulivyo miaka hii. Vinginevyo!!!Hii issue nikikua early 90s hasa hasa hii miaka miwili 1998/2000 nakumbuka kusikiliza kwenye taarifa ya habari RTD (TBC ya sasa) kwamba moja ya wilaya za Tanzania kuzungushiwa utepe mwekundu kutokana na kuongoza kwa vifo vilivyotokana na HIV/AIDS,nahisi ni hii hii Mafinga.
Pole sana hauko peke yako,hakuna Tanzania hii aliyekwepa hili zimwi iwe ni kwa wajomba,shangazi,baba wadogo etc mimi niliwahi zika mpaka babu yangu mdogo 2007 na mwanae alizikwa 1997 kisababishi kikiwa huu huu βUKIMWI na mzee alikuwa na jeuri yule aliambiwa atumie ARVs akakataa akasema kama alivyokuwa anafurahia utamu anataka kuuona uchungu nao unafananaje,alikufa mzee aged 70.
Si la VVUπ€£π€£π€£Kuonyesha uchezaji wako mahiri kwenye gameKombe gani tena hilo jamani?
Uchezaji mahiri π€£π€£π€£π€£ aisee mwnamke una misemo wewe.Si la VVUπ€£π€£π€£Kuonyesha uchezaji wako mahiri kwenye game
Daah we pambana tu na kombe lakoπ€£π€£π€£π€£mi nasubiri languUchezaji mahiri π€£π€£π€£π€£ aisee mwnamke una misemo wewe.
Njoo basi ulione kombe lilivyokuwa zuri mrembo
Hahaha wee chukua kombe bwana sio kila msimu unatoka kapa. Hamnaga faida ya kwenda kaburini viungo vyote vikiwa brand newDaah we pambana tu na kombe lakoπ€£π€£π€£π€£mi nasubiri langu
Ndugu yangu mzabzab ndiye pekee amekiri wazi, anastahili tuzo huyu mwamba. Sie wengine zaidi ya porojo hatuna la kuongeza π π π japo mimi status yangu kweli siijui, sijui lini nitapata ujasiri wa kutoboa kidole.Chifu ukimwi hauna mfanano. Huu ugonjwa acha kabisa. Ugonjwa ambao mume anakula arv mkewe hajui au mke anakula arv mumewe hajui na hapo unakuta wanaendelea kuzaa!Wazazi wanakula arv watoto hawajui.
Kwenye mazishi cv ya ugonjwa wa marehem inabadilishwa. Ukitaka kujua jiulize hapa kuna comment 400+ kuna wachangiaji wangapi wamekiri kuwa na shida hii na ujiulize je ni kweli hamna mwenye shida hiyo? acha kabisa Ukimwi baba lao aisee.
Ah wee unapima ya nini kujitakia stress thu. Tulia zako ipo siku isoyojulikana utapata kujua status yako.Ndugu yangu mzabzab ndiye pekee amekiri wazi, anastahili tuzo huyu mwamba. Sie wengine zaidi ya porojo hatuna la kuongeza π π π japo mimi status yangu kweli siijui, sijui lini nitapata ujasiri wa kutoboa kidole.
Na ukimwi wa kule ni mkali sana ukija nao dar hauchelewi kukuyumbisha[emoji2]Mafinga,Mfindi,Makete,Mbeya ,Iringa,Jombe huko HIV ni kugusa tu.
Itafikia mahali dawa haitazuilika.... Hlf nyie msiotumia dawa ndiyo mnaoendeleza kusambaa kwa maambukiziSasa niukwae mara ngapi jamani sixteen years and counting hamna arv wala nini siri ni mazoezi chakula na kitokuoa maana ukiwa na mke unaongeza uharaka wa kulifikia kaburi lako π€£π€£π€£π€£ oh plus maji kwa wingi pia
π³π³π³π€ Leo hii?KATAA NYETO
KATAA NYETO
KULA MBUSUSU
π³π³π³π€ Leo hii?
Ni hatari...! Nasoma comments watu wanaandika utoto...eti ukimwi Ni ugonjwa wa kawaida nawashangaa Sana..imagine upo unajipima magetoni halafu shaaaaaaaa mistari miwili,
yaaaan twaaa mistari miwili
yaaani taaaa mistari miwili
unajaribu kipimo kingine mara chaaaaa mistari miwili
unachanganyikiwa unaanza kupiga kelele ghafla unasikia wife anakwambia "MUME WANGU KARIBU CHAKULA"