Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Mwenyezi Mungu aturehemu na hili janga[emoji24][emoji24]
 
Inawezekana tukafahamiana chief njoo inbox ,babu yangu marehem now alikuwa na cheo kikubwa sana apo kiwanda cha chai alikuw anaitwa mzee Tweve .B
 
Inawezekana tukafahamiana chief njoo inbox ,babu yangu marehem now alikuwa na cheo kikubwa sana apo kiwanda cha chai alikuw anaitwa mzee Tweve .B
Ooh aseeh mzee tweve? Mimi mzee wangu alikua HR pale alikua anaitwa mzee Gerald Chan...g..! Nimekaa sana lugoda estate pale
 
Huu wimbo unaitwaje

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sio kwamba kumetulia ila watu wanazingatia matumizi sahihi ya ARV na wanajikubali. Kipindi hiko kwanza watu walikua hawataki kupima na kujikubali. Tuendelee kuchukua tahadhari.
 
Next ni jamii ya wasukuma. Hawa watu wanafanya mapenzi na wanawake wanaojiuza bila hata kinga.....wanapokezana kama sigara. Machimbo mapya ya wadangaji msimu wa kiangazi ni kwenye mapori ya wasukuma.
Mimi ni msukuma nakubaliana na wewe 100% Kuna elimu inahitajika sana maana hapafai uko maporini na ukizingatia jamii haina elimu hii formal
 
Tuendlee kuchukua tahadhari wandugu,mtu wangu wa karibu tumempoteza mwezi mmoja uliopita,alikuwa na mtu wake mjamzito kaenda kupimwa kliniki ikaonekana anavyo,jamaa kupewa taarifa kapata kiharusi,baada ya siku chahe akaaga dunia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…