Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Hii Tanzania nyumba ziachwe mpka watu wakae bure? Acheni story za kitoto basi!
Uchagani huko watu wana nyumba za maana sana vijijini halafu hawapo wapo miji ya watu. Hizo nyumba ni rahisi kukuta hazikai watu au wanakaa watu bure kabisa kikubwa ni uitunze na kuilinda nyumba.uliyopewa uishi bure hadi ifika disemba wenyeji wataporudi.

Na ni hii hii Tanzania Mkuu.
 
Uchagani huko watu wana nyumba za maana sana vijijini halafu hawapo wapo miji ya watu. Hizo nyumba ni rahisi kukuta hazikai watu au wanakaa watu bure kabisa kikubwa ni uitunze na kuilinda nyumba.uliyopewa uishi bure hadi ifika disemba wenyeji wataporudi.

Na ni hii hii Tanzania Mkuu.
Mbona unaelezea kitu tofauti, huyo anasema wenye nazo wamekufa hivyo nyumba hazina wenyewe..kwa lugha nyepesi ni kwamba wameokota nyumba. Kukaa bure kwenye nyumba ya mtu kwa makubaliano hakuna cha ajabu hapo!
 
Mbona unaelezea kitu tofauti, huyo anasema wenye nazo wamekufa hivyo nyumba hazina wenyewe..kwa lugha nyepesi ni kwamba wameokota nyumba. Kukaa bure kwenye nyumba ya mtu kwa makubaliano hakuna cha ajabu hapo!
Hapo sawa, nilifikiri unashangaa mtu kukaa bure kwenye nyumba ya mtu mwingine Mkuu.
 
Dah mkuu mi naona kila ugonjwa ni mbaya hasa AIDS achana na HIV tunasemea ile stage ya progression to AIDS from HIV

Mtu anaumwa kila aina ya ugonjwa TB yake, homa yake, vidonda vyake, mkanda wa jeshi wake yaani kila ugonjwa maskini ni wake

Lets say kila ugonjwa ni hatari tu na tuombe MUNGU mno atuepushe na majanga
Kuna ndugu yangu ana mkanda wa jeshi ina maana ana HIV?
 
Inauma sana nakumbuka mwaka wa 1998 uliondoka na mama yangu nikiwa na miaka 5 [emoji24][emoji24][emoji24] nikaachwa sina mdogo wangu yeyote yule hivyo naishi kwa uyatima usio na kifani [emoji24]
Pole sana ndugu
 
wakuu kupima ngoma sio kitoto ,leo nimenunua vipimo vya ukimwi na maji yake nijipime nijue hali yangu


ila huwez amini nmetetemeka kinoma asee ,nilichofanya sasa nimechukua mate na nikakwangua fizi nikayapima kipimo kimesoma negative


sasa kimbembe imebaki kwenye kuipima damu yenyew na ntapima keshokutwa


mate yamenipa ujasiri wa kuipima damu .


oya wazee ni hatar
 
Wewe neenda kwenye wadi ya saratani ndo utajua ukimwi ni cha mtoto na inaua watu wazima na consciousness yao kwa % kubwa, kule cancer inaua watoto wadogo wazee vijana, masikini wenye pesa kila aina ya mtu. Ukimwi ni hatari ila is over rated kwasbb ni ajira kwa mashirika mengi na misaada kwa serikali zetu........je wa jua kwamba Malaria inaua watu hapa Africa Tanzania ikiwemo kuliko HIV? kila baada ya dakika 3 kuna mtu anakufa kwa Malaria hususani watoto walioko chini ya 5yrs infants......mtu anauwezo wakuishi na ukimwi kwa zaidi ya miaka 30, kinacho ua wa Tanzania ni umasikini ulio kithiri kupata chakula sahihi na dawa kwa wakati ila sio HIV
Ndugu acha kujitoa ufahamu...Shida ya Ukimwi ni HATIA ambayo mgonjwa anajiskia. Jamii inavyokuchukulia, kila mtu anakuona unahatia, malaya, mchafu.Hata kama umeletewa na mwenza..utaonekana ulioa au kuolewa na malaya tu...Hiyo ndo tatizo ya Ukimwi..Yaani familia, ndugu..wote wanakulaumu.Wewe mwenyewe unajilaumu...tamaa...n.k.

Na ndo maana watu huwa wanaficha....hawasemi kama wameungua..

UKIMWI ni shida ndugu..Mzee wangu UKIMWI ulimbeba 2011, lkn hata yeye hakuwahi kutamka anaumwa nini, anajua tunajua lkn..hawezi sema chochote....
 
Mkuu hicho kijiji kinaitwa je, au ni hearsay tu.
Itakuwa Kitobo kuelekea Buyango, maeneo ya Kanyigo na kigarama huko na baadhi ya vijini vingine!
Hayo maeneo nilipapita miaka ya 2011 kuna sehemu nilijionea magofu ya nyumba hadi miti imeota ndani niliumia sana. Maana yake Ukimwi uliua familia zote mpaka watu wa kurithi hata nyumba wakakosekana [emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom