mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 677
Sasa kiongozi inakuwaje ule uzi wa kimasihara utaufuta au hadi uonane na mwanasheria wako kwanza?😆😆Hatari sana aiseee huu ugonjwaa noma sanaa...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kiongozi inakuwaje ule uzi wa kimasihara utaufuta au hadi uonane na mwanasheria wako kwanza?😆😆Hatari sana aiseee huu ugonjwaa noma sanaa...!!
Uchagani huko watu wana nyumba za maana sana vijijini halafu hawapo wapo miji ya watu. Hizo nyumba ni rahisi kukuta hazikai watu au wanakaa watu bure kabisa kikubwa ni uitunze na kuilinda nyumba.uliyopewa uishi bure hadi ifika disemba wenyeji wataporudi.Hii Tanzania nyumba ziachwe mpka watu wakae bure? Acheni story za kitoto basi!
Mbona unaelezea kitu tofauti, huyo anasema wenye nazo wamekufa hivyo nyumba hazina wenyewe..kwa lugha nyepesi ni kwamba wameokota nyumba. Kukaa bure kwenye nyumba ya mtu kwa makubaliano hakuna cha ajabu hapo!Uchagani huko watu wana nyumba za maana sana vijijini halafu hawapo wapo miji ya watu. Hizo nyumba ni rahisi kukuta hazikai watu au wanakaa watu bure kabisa kikubwa ni uitunze na kuilinda nyumba.uliyopewa uishi bure hadi ifika disemba wenyeji wataporudi.
Na ni hii hii Tanzania Mkuu.
Hapo sawa, nilifikiri unashangaa mtu kukaa bure kwenye nyumba ya mtu mwingine Mkuu.Mbona unaelezea kitu tofauti, huyo anasema wenye nazo wamekufa hivyo nyumba hazina wenyewe..kwa lugha nyepesi ni kwamba wameokota nyumba. Kukaa bure kwenye nyumba ya mtu kwa makubaliano hakuna cha ajabu hapo!
Kuna ndugu yangu ana mkanda wa jeshi ina maana ana HIV?Dah mkuu mi naona kila ugonjwa ni mbaya hasa AIDS achana na HIV tunasemea ile stage ya progression to AIDS from HIV
Mtu anaumwa kila aina ya ugonjwa TB yake, homa yake, vidonda vyake, mkanda wa jeshi wake yaani kila ugonjwa maskini ni wake
Lets say kila ugonjwa ni hatari tu na tuombe MUNGU mno atuepushe na majanga
Mkuu mi sijui, ila aende hospitali atapata majibu 😢😢Kuna ndugu yangu ana mkanda wa jeshi ina maana ana HIV?
Hatari sana aiseee huu ugonjwaa noma sanaa...!!
Wajuzi wa mambo hivi huu ugonjwa wa mkanda wa jeshi ndo ugonjwa gani, chanzo chake na madhara yake pia ni yepi??Kuna ndugu yangu ana mkanda wa jeshi ina maana ana HIV?
Mkuu kuna una ubaya gani ukisema ni wew mwenyewe? kapime ujue khali yako uondokane na wasiwasi.Kuna ndugu yangu ana mkanda wa jeshi ina maana ana HIV?
Na kama akisema ndugu yake pia kuna ubaya gani?? Acha kulazimisha mambo.Mkuu kuna una ubaya gani ukisema ni wew mwenyewe? kapime ujue khali yako uondokane na wasiwasi.
Pole sana nduguInauma sana nakumbuka mwaka wa 1998 uliondoka na mama yangu nikiwa na miaka 5 [emoji24][emoji24][emoji24] nikaachwa sina mdogo wangu yeyote yule hivyo naishi kwa uyatima usio na kifani [emoji24]
Ndugu acha kujitoa ufahamu...Shida ya Ukimwi ni HATIA ambayo mgonjwa anajiskia. Jamii inavyokuchukulia, kila mtu anakuona unahatia, malaya, mchafu.Hata kama umeletewa na mwenza..utaonekana ulioa au kuolewa na malaya tu...Hiyo ndo tatizo ya Ukimwi..Yaani familia, ndugu..wote wanakulaumu.Wewe mwenyewe unajilaumu...tamaa...n.k.Wewe neenda kwenye wadi ya saratani ndo utajua ukimwi ni cha mtoto na inaua watu wazima na consciousness yao kwa % kubwa, kule cancer inaua watoto wadogo wazee vijana, masikini wenye pesa kila aina ya mtu. Ukimwi ni hatari ila is over rated kwasbb ni ajira kwa mashirika mengi na misaada kwa serikali zetu........je wa jua kwamba Malaria inaua watu hapa Africa Tanzania ikiwemo kuliko HIV? kila baada ya dakika 3 kuna mtu anakufa kwa Malaria hususani watoto walioko chini ya 5yrs infants......mtu anauwezo wakuishi na ukimwi kwa zaidi ya miaka 30, kinacho ua wa Tanzania ni umasikini ulio kithiri kupata chakula sahihi na dawa kwa wakati ila sio HIV
Itakuwa Kitobo kuelekea Buyango, maeneo ya Kanyigo na kigarama huko na baadhi ya vijini vingine!Mkuu hicho kijiji kinaitwa je, au ni hearsay tu.