Chizi Maarifa wewe Ni wa Tanga sehemu gani? Kama unatokea Lushoto ambàko hakuna wachawi kaa kimya. Tanga wachawi wapo.
Unajua kwamba ukienda kununua utajiri wa kichawi Tanga, mganga mwenyewe ndio anakupa mtaji usio pungua milioni ishirini? Sio huko eti wakinga wananunua na kutoa kafara kwa kuua ndugu.Tanga hakuna kafara la kumwaga damu ya ndugu , sharti Ni moja tu, usitembee na mwanamke wa nje, amini usiamini Hilo sharti hata Mimi limenishinda. Isitoshe na mtaji unapewa. True kabisa sema kiapo chake tu ndio balaa.