gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 790
- 1,373
- Thread starter
- #681
Habari, wale walionifuata PM kwa ajili ya muendelezo wa story watambue, haitakuwa free kuna mchango kidogo wa vocha, pia kuna story mpya inakuja hapa very soon kuanzia kesho. jitahidi kutumia lugha ya staha unapo comment sio kwasababu unatumia fake ID ndio utiririke matusi heshima kitu cha bure.