Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Ukihitaji story zangu nifuate PM nitakuletea ama kukutumia popote ulipo.
 
Nimempa ushauri anajifanya kushupaza shingo.

Leo hii ndgu yetu umughaka akiamua kuleta story na akasema anaiuza si ajabu atapata uungwaji mkono sana kwa story zake mbili tatu tu alizotoa humu. Watu wakakosoa, wakatukana lazima kuna mambo kajifunza.

Lakini huyu bwana mdogo story hii kaikimbia eti nenda pm uuziwe, nyambaf.
Unamshauri anaona unamzibia riziki.
 
Unaroho mbaya kama maisha yako
 
Nani amfuate pm na visimulizi vyake uchwara,kwanza muandishi gani hata kupangilia maneno hawezi?,Hivyo vitabu labda watasoma ndugu zake lakini si wabongo ninao wafahamu.

Akiweka kitabu alichoandika utanitag mkuu
Hana kitabu, kampuni hazichapi vitabu hovyo lazima zivipitie. Wakiridhika ndo wanakitoa.

Ndio maana nikamwambia aweke kitabu chake hapa tumuungishe. Mbona maduka ya vitabu yapo na waandishi wanasambaza hard copy.
 
Ukihitaji story zangu nifuate PM nitakuletea ama kukutumia popote ulipo.
Pm wapi wewe,unaiba simulizi za watu unasema wakufuate pm,acha wizi wewe!.

Kama hizo simulizi ni zako kwanini usiweke hapa ili tuone itakayovutia ili tuweze nunua?,Huko pm kufanya nini kama simulizi si ya wizi?

Wanaume wanaandika kwa jasho wewe unakuja kuiba na kuzifanya zako,acha wizi na utapeli.


Tuambie hapa kila mtu aone umeandika simulizi na vitabu gani?,Mbona waandishi wengine wanapromote kazi zao hapa wazi wazi?,wewe kwanini watu waje pm?

Usipoweka hizo simulizi na vitabu hapa wewe utakuwa mwizi wa kazi za watu na kuzifanya zako
 
Dogo ni muhuni na mwizi
 
"I want to die judge" tumeisoma mwanzo mwisho humu humu Jf na bado isidingo ya "nilimdhani kahaba kumbe ni bikra" hatujaombwa chochote sembuse iwe hii wasakatonge
Hahahah! Mkuu kati ya hizo mbili ulizotaja ni true story au za kutunga tu?
 
Hatutaki tena story zako huelewi?
 
Usinifundishe uandishi, wewe kama unajua kukosoa si uandike story yako hata moja tuione, mimi ni mwandishi wa vitabu, sio hizi episode za JF. Kwa wanaojua umuhimu wa uandishi wamesha nifuata PM, watu kama wewe hawanisumbui, ushauri peleka angaza.
Acha kudhalilisha uandishi dogo. Unadhani uandishi ni kama matako... Kila mtu anayo. Kiswahili bado hukijui vizuri watu walikuvumilia tu wasukume muda uende wakirekebisha moyoni. Dogo bado sana kwenye kuandika. Bado hata akili ya kutunga haijakomaa...
 
Hio Kwamsisi mzee aliacha shamba la heka 50 la michungwa na minazi pamoja na nyumba ya room 3 🤣🤣🤣 sijui nini kilimpataga bana.
Sasa mkuu kwanini usifuatilie utajiri huo wa mzee? Au unaogopa kuchimbua?🤣🤣
 
Hio Kwamsisi mzee aliacha shamba la heka 50 la michungwa na minazi pamoja na nyumba ya room 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nini kilimpataga bana.
Ardhi utajiri kabisa huu nje nje ,Fanya ufuatilie ,tudhihirishe ukweli wa mwamposa
 

Mbona rahisi hivyo
 

We ni mavi tu
 
[emoji23] Ghafla sanaaaaaa
 
Unaroho mbaya kama maisha yako
Sio roho mbaya, unaambiwa ukweli.

Bila shaka mpaka hapa umejifunza kitu.
Punguza tamaa, uandishi ni kazi ngumu hata utokaji wake unahitaji maarifa haswa.
Ukitanguliza hasira mbele hutatoboa, we ukikosolewa unamrukia mtu jumla jumla.

Account yenyewe hii ni feki halafu unataka utumiwe pesa ndo utume story kama sio utapeli ni nini??
Wafanyabiashara wenzio wanaweka namba hadharani kabisa na anuani na majina yao, mtu anatuma pesa bila mawazo.

Ukikimbia na ela za watu je,? Au ndo tutaenda mwa Melo tumuulize gstar ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…