Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Hii story haina ukweli wote. Kama yalikutokea ni kwa kiasi kidogo tu. But hiyo barua inaonesha kabisa ni uongo wa kutunga. Wewe umetumwa unataka kutuharibia jina letu la Tanga.

ni vizuri muwe mnakuwa wakweli kama hadithi ni ya kutunga ukisema umetunga wala haipunguzi wasomaji. Si lazima useme ni kweli yametokea.

nimekuja baada ya walaji kulalamika pia unawapa tu episode tufupi tufupi sana. Ukaamua kunywa chai.... Episode.

ukawa unawaza episode. Nyie walimu si mna muda mwingi tu wa kupumzika? Hebu kaa andika episodes ya ukweli ndefu kutoka posta hadi angalau Bunju.
 
Mmi nafkiri hili swala halitaji kuwa serious sana mwisho wa siku hizi ni stori tu tunasoma then bas ....kama haijakupendeza nivema ukawa mpenzi mtazamaji tu .... maana sioni kama itakupunguzia chchte .... usiwe serious haya ni mambo ya mtandaoni tu
 
Akisema ni ya kutunga itapoteza ladha
 
Chizi Maarifa wewe Ni wa Tanga sehemu gani? Kama unatokea Lushoto ambàko hakuna wachawi kaa kimya. Tanga wachawi wapo.
Unajua kwamba ukienda kununua utajiri wa kichawi Tanga, mganga mwenyewe ndio anakupa mtaji usio pungua milioni ishirini? Sio huko eti wakinga wananunua na kutoa kafara kwa kuua ndugu.Tanga hakuna kafara la kumwaga damu ya ndugu , sharti Ni moja tu, usitembee na mwanamke wa nje, amini usiamini Hilo sharti hata Mimi limenishinda. Isitoshe na mtaji unapewa. True kabisa sema kiapo chake tu ndio balaa.
 
Aisee wewe ni jini au binadamu! Mbona unaporomoka mambo ya hovyo na ya haya kiasi hichi! Kama Huna cha kufanya lala !
 
Mmi nafkiri hili swala halitaji kuwa serious sana mwisho wa siku hizi ni stori tu tunasoma then bas ....kama haijakupendeza nivema ukawa mpenzi mtazamaji tu .... maana sioni kama itakupunguzia chchte .... usiwe serious haya ni mambo ya mtandaoni tu
Mi nadhani kwa kuwa wewe si ndugu mtunzi. Ni ndugu msomaji. Basi jikite kwenye kusoma tu. Hizi post usizichukulie serious.
 
Kwa nini Lushoto kusiwe na wachawi? Sharti hilo unalosema ni dogo sana. Wengi wangekuwa matajiri. Si kila mwanaume anapenda kucheat. Hakuna utajiri mwepesi hivyo. Damu lazima itahusika. Niamini coz nafahamu haya mambo. Sisimuliwi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…