kwa hili sitarajii viongozi wa makanisa yote nchini kukaa kimya Hata akina askofu mtetemela Sitta ni lazima aseme nyaraka zipi za makanisa ni za kipuuzi na ni makanisa yapi na yalitoa nyaraka hizo wapi HATUWEZI KUWA NA WAKRISTO WANAOKASHIFU MADHABAHU LA si hivyo tuone Mungu wa SITA na Mungu wetu yupi Mkubwa....
Laana ya katiba imeanza kumtafuna;
kama ni upuuzi usisemwe kwa sababu walioyasema hayo maneno ni viongozi wa dini? Acheni unafiki.
kigumu chama cha mahafidhinaoooh meca! Sio kila anayejiita kwa mfano wa majina ya kikoloni kwamba ni mkisto ... Sita ni mwabudu shetani kama ccm wote walivyo. Sita mungu wake yupo kwenye vibuyu...... Tuachane na hilo katiba bora imepatikana haya sema kidumu chama cha mapinduzi
Sita Mkatoliki tangu lini? Hapana.
Halafu hii habari itakushushia hadhi i guess....
SITA NI MNAFIKI TUUUU UZURI NENO LA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE SITA AWATUKANA MASIHI WAKE LINASEMA. ....... WANAFIKI HAWANA SEHEMU KATIKA UFALME wa MUNGU ILA MTUMISHI HUYU WA SHETANI SITA KALETA KATIBA BORAAAAAUNAFIKI NI KITU KIBAYA SANA KATIKA MAISHA NI HUYUHUYU SITA ALIENDA KWA VIONGOZI WA DINI KUTAKA WAWASHAURI UKAWA WARUDI BUNGENI, NI HUYUHUYU SITA ALIKUWA AKIZUNGUKA KWENYE MAKANISA KUWASHUKURU VIONGOZI HAOHAO ANAOITA WARAKA WAO NI WAKIPUUZI BAADA YA MWAKYEMBE KUPONA, leo hii ndio shukurani yake kwao.
mnafik ni wewe kwanza umeshasoma nyaraka zenyewe au mihemko tu
hili zee limeshachanganyikiwa...ndio maana linaacha mke masaki linahamia kinondoni kwa changu na lipua lake kama exhaust ya gari la kunyonya mavi
Biblia ilikuwepo kabla hata ya uislam kuwepo kwahiyo haina kifungu au neno linalotamka mahakama ya kadhi wala mtume mohammad ila quraan inautambua uwepo wa ukristu kwani iliandikwa wakati ukristu ulishaota mizizi.
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.