Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

amesema ukweli viongozi wa nyanja zote za kiserkali bila kuvikemea taasisi zote za dini na taasisi zisizo za kiserikali zitavipanda kichwani serikali

Ni kweli kabisa ila pia na viongozi wa kiserikali nao wapunguze kutumia taasisi za kidini kama platform ya kuongelea issue za serikali ambazo ni complicated kwenye jamii nzima maana kuna mheshimiwa mmoja aliwahi kuchafua hali ya hewa sehemu mpaka akapewa muda ambao ungetumika kujadili katiba mpya afafanue kile alichosema kanisani, na hii tabia imeshaanza kuisha tukifanya mchezo itakuwa ngumu
 
Asante sana ndugu SAMUEL SITA , MUNGU AKUPE NINI TENA MKUU ? TUMEKUSIKIA KWA MASIKIO YOTE , WOTE TUNAFAHAMU KWAMBA MUNGU HAKUUMBA HELA BHANA , ALIUMBA MBINGU NA ARDHI TU .
 
SITA NI MPANGO WASHETANI ASIPO KEMEWA NCHI ITAANGAMIA. TOKA SHETANI SITA USHINDWE NA ULEGEYE TOKA SHETANI SITA :flame:
 
mimi nalia na gazeti la Mwananchi kwasababu limekuwa likimpamba kwa kipindi kirefu Sitta kama vile ni kiongozi mzuri wakati sio kweli, sijui Mwananchi wana ajenda gani naye.
Kikwete aliwahi kusema viongozi wa dini wakizungumza nchi inatetemeka, alafu yeye anatoa kauli hii ya dharau, hakika huyu ameishiwa.
 
Kuna haja Rais ajaye, aje awachukue watu kadhaa na kuwapeleka kwenye Mahakama ya Kijeshi.

Tafadhali, hapo sijaandika nani aende..............
Ondoa shaka mkuu. Mahakamani watakwenda japo si ya kijeshi.
 
Sitta siyo mtu msafi, wengine tulisema mapema kuwa hafai hata kuwa mwenyekiti lakini sijui watu walilewa nini;
amekunywa maji ya bendera hawezi kwenda tofauti hata siku moja.

 

Mzee TUPA TUPA hakuna kitu km hicho hivi unajua Wanasiasa wanaabudiwa sana huko maKANISANI mfano mzuri ni hapo KINONDONI LUTHERANI anaposali karibu viongozi wote pale wanamuona km MUNGU wao,,,!! Sababu watu wa humo kanisani wakiwa na ukaribu na Watu wa Serikali wanajihis km wako Dunia nyingine fuully upuuzi,,,!
 
Mzee Sitta amechoka kabisa kimawazo. Bora tu amepewa hiyo nafasi ili tutambue uwezo wake. Ni zero full.
 
Waislamu waliomba wawe na mahakama ya kadhi mwaka 2005 wakadanganywa kuichagua CCM kwanza, wakaidai tena 2009 wakapigwa chenga na 2010 JK akawaambia akichaguliwa ataipitisha, alivyopita chaliii!


Leo 2014 wameiweka pending mpaka mwakan ili mpitishe katiba ya CCM ikipita 2015 January waliyowaahidi mtapigwa chenga msubiri uchaguzi mkuu ujao. Hiyo imekuwa ajenda yao ili waislam mlio wengi muendelee kuipa kura CCM. Ni bora wangetamka kama haipo tu ili ijulikane moja.


Sheikh kasema bungeni kuwa maneno ya Pinda hayafutiki. Sasa kama alikuja na siasa hapo January asije kuwalaumu waislam. Waislam kuweni wapole na wenye subira na wakristo tuweni watulivu. La msingi madai yetu au shida zetu zisiwe mtaji wa siasa zao maCCM.
 
Huyo mzee SITTA anazeeka vibaya. Nadhani laana ya uchakachuzi wa KATIBA ya wananchi imeanza kumtafuna.
 
Nakubaliana na Mh Sitta kuwa baadhi ya nyaraka zinazosomwa zimejaa upuuzi
 
sijaelewa hapo kwenye aya ya kwanza, naomba uweke quotation mark ili nijue maneno alioyasema yanaanzia wapi na kuishia wapi.

Sijam-quote bali nimeripoti alichokisema. Reported speech haina quotations!
 

Haki ya nani hawezi kututukania maaskofu wetu walioenda shule! Kama maaskofu ni wapuuzi, basi yeye Sitta ni M.ku.ma.ni.na kabisa!!
 
Huyu mnyamwezi mwenzangu kapoteza direction ya hii nchi na hata ya kwake mwenyewe. Halafu anataka kuwa head of state wa hii nchi,you just lost it my home boy

Oohps!! Mi nilidhani ya kaisari apewe kaisari! aaah! ya kaisari kumbe leo hadi kwa Mungu? Looh!
 
SITTA cheo ulichonacho ni cha mwisho ubunge hupati na URAISI ndio huna sifa siunaona hata 5 bora ya wana CCM hutajwi Mzee BMK limekumaliza
 

asante KWA PICHA NZURI MKUU .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…