Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

Angalieni huyu jamaa anaweza kuishia kuwa shujaa wa TAIFA... Unless Wazanbar wamuangushe...

Taarifa ni kwamba tayari wazanzibari wamemkana kabla hata jogooo. Hajawika.Yametimia yaliyonenwa Na UkAwa kwamba akidi haipo
 
Siyo ya kipuuzi tu Bali no ya kijinga kabisa.


 
Sio kweli. KKKT kama wameona Sitta kakosea na ni muumini wao lazima ataadhibiwa tuu. Hayo mengine ni yako wewe.
 
Sitta anataka kukwepesha wananchi kumshughulikia aliyeharibu mchakato wa katiba , yeye anadhani kwa kusema hayo watu wataamishia hasira zao kwake, la hasha wananchi wameishamtabua adui wao....! Wanasubiri muda muafaka wamshughulikie.
 
Sitta siyo mtu msafi, wengine tulisema mapema kuwa hafai hata kuwa mwenyekiti lakini sijui watu walilewa nini;
amekunywa maji ya bendera hawezi kwenda tofauti hata siku moja.

DADANGU nafasi ya viongozi wa dini ni kubwa sana katika jamii, suala la kuchinja WASIRA alipoenda na kulikoroga NYEHUNGE mambo yalipoharibika walikimbilia kwa hawahawa viongozi wa DINI ambao leo ni wapuuzi.
 
Kwanini wasimvue mapema, nakumbuka mwaka 2010 sumbawanga mjini baada ya wakatoriki kushirikiana na gamba Aeshi kukashifu kanisa katoriki walitimuliwa watu zaidi ya 200 bila kujari hadhi zao, wengine siku hizi wanaomba kurudi wanapewa mafundisho maalum na kulala altareni huku wakiomba toba Mungu niye awasamehe
 
Paulo Makonda Ni Mshenzi Na Mpumbavu Sana, Kasema Anapiga Kura Ya Ndiyo Kwa Katiba Eti Kwa Niaba Ya Vijana Wote Wa Tanzania, Huu Ni Uongo Mjinga Makonda Nani Kakutuma Upige Kura Kwa Niaba Yetu Vijana??, Wakati Wewe Uko Bungeni Kwa Niaba Ya Tumbo Lako Na Mkeo Mpumbafu Wewe.
 
arfi kaamua kujitoa unafikuna kwa kusema ukweli wa moyoni mwake kwamba kura yake ni SIYOOOOOOOOO.
Nampongeza sana kwa ushujaawake
 
Reactions: BAK
Yesu wangu..!!yaani huyu sita anadiriki kusema maneno ya mungu ni upuuzi?.

MUNGU amsamehe bure hajui afanyalo ccm wote wana laana za kudharau maoni ya wanachi MUNGU atawahukumu wote
 

hata mimi nimemsikia kijana mwe.hu sana.
 
Paulo Makonda Ni Mshenzi Na Mpumbavu Sana, Kasema Anapiga Kura Ya Ndiyo Kwa Katiba Eti Kwa Niaba Ya Vijana Wote Wa Tanzania, Huu Ni Uongo Mjinga Makonda Nani Kakutuma Upige Kura Kwa Niaba Yetu Vijana??, Wakati Wewe Uko Bungeni Kwa Niaba Ya Tumbo Lako Na Mkeo Mpumbafu Wewe. Makonda Mshamba Na Mpuuzi Kabisa, Alaaniwe Na Afe Kesho J4.
 
Kuna ulevi wa aina nyingi duniani: Pombe kali, bia, bange, miraa, gongo, tambuu, mirungi, sigara etc. Lakini nasema Hakuna ulevi mbaya kuliko "ULEVI WA MADARAKA"
 

Pumbafu zake
 
Maendeleo ya nchi hii yanapitua wakati mgumu sana kutokana na aina ya wananchi iliyonao...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…