Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

We unafikiri BET ni sawa na NEC ya mahera ambayo inafata meza yenye bia nyingi ya kumlamba boss miguu?
BET Ata vanyboy alishachukua huku wakati fulani, nashangaa mnapo angaika, narudia nyie kelele zenu kama NZI hazina madhara, na hili JPM alilijua
 
BET Ata vanyboy alishachukua huku wakati fulani, nashangaa mnapo angaika, narudia nyie kelele zenu kama NZI hazina madhara, na hili JPM alilijua
Rayvan alichukua BET kipindi ambacho hakutengeneza matabaka.

JPM ndio nani? Hivi hli jina bado linaendelea kutumika tu au kuna mrithi wake analiendeleza?
 
Ujumbe utamfikia siku nyingine atakuwa makini atapunguza ki ele ele.
Hivi unafikiri haya makelele mmeanza leo? kilichoongezeka wakati huu ni kigogo tu , utaratibu ni ule ule ccm mbele kwa mbele, kampeni kama kawaida
 
Rayvan alichukua BET kipindi ambacho hakutengeneza matabaka.

JPM ndio nani? Hivi hli jina bado linaendelea kutumika tu au kuna mrithi wake analiendeleza?
Kulikuwa na team Kiba, na wapinzani wengine, hivyo hakuna jipya, Ata hawa wa sasa hawana jipya, Diamond hawezi kushushwa na wapiga mboyoyo
 
Hivi kwanini NEC isimpe ushindi wa mezani Diamond kama ilivyo kawaida yetu?
 
Uko sahihi 💯, tujiulize tu swali dogo hivi Mbowe angekua Diamond asingesupport Magufuli?🤔
Jifunze kutofautisha Kati ya Chama na wafuasi wa chama
Wako huru kumsapoti yeyote kama wewe ulivyo huru kumsapoti diamond, halafu kama ni wanaharakati wa kisiasa wako sahihi kwanini unataka wamsapoti aliyeungana na watesi wao CCM kuwateka, kuwaua, kuwanyanyasa na kuwabeza kwa nyimbo zake?
 
Kulikuwa na team Kiba, na wapinzani wengine, hivyo hakuna jipya, Ata hawa wa sasa hawana jipya, Diamond hawezi kushushwa na wapiga mboyoyo
Mimi sina cha team kiba wala team mond, yeyote anaye fakisha sioni kazi kumchana.

Inawezekana wewe ukawa ni team mond na ndio maana unahisi ndio sababu nampigia misumari kwenye kura za BET.

Tatizo ana mdomo ( kumradhi sio ukubwa wa mdomo bali kuongea hovyo)
 
Mdomo wake wewe unaufatilia wa nini? kama upendezwi nao fanya shughuli nyingine
 
Kulikuwa na team Kiba, na wapinzani wengine, hivyo hakuna jipya, Ata hawa wa sasa hawana jipya, Diamond hawezi kushushwa na wapiga mboyoyo
Tofautisha BET International Act ( TUZO )

BET Viewers choice award ( TAKATAKA aliyopewa Rayvanny )
 
Sasa kwa akili ya kawaida Sadala angeshinda vipi kwa wale watu waliowekwa naye kwenye category moja?

Angeshinda labda angewekewa Lavalava ,Mboso ,Zuchu na Rayvanny
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena hao BET ingependeza wangeweka na option ya kupiga kura za dislikes

Hapo ndio angepata jibu la moja kwa moja ni kiasi gani watu tuko siriasi.
[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna hasira kwa kweli lol.
 
BET Ata vanyboy alishachukua huku wakati fulani, nashangaa mnapo angaika, narudia nyie kelele zenu kama NZI hazina madhara, na hili JPM alilijua
Vanboy wako alichukua ipi hiyo? Ile isiyokua na tija lolote? [emoji23][emoji23][emoji23] walllah hivi vichekesho mweeeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…