Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

Kazi ya Chawa hiyo.

Chawa huwa hawana fikra zao. Wao ni bender a fuata upepo.
 
Lazima useme chochote,ukikaa kimya itaonekana huungi mkono,siasa zetu ni za kuviziana sana usipokuwa smart unajikuta upo nje ya reli,acha watafutaji walinde Ugali......unacheza kutokana na mdundo wa ngoma
 
Ni mwendo wa pambio, tunasifu na kuabudu.
 
You kill the dog!.
 
Reactions: tyc

I concur with you
 
Reactions: tyc
Vyama vingi vya Tanzania vinafuata fikra vya Mwenyekiti.
 
Hii ndiyo ilikuwa maana halisi ya maneno ya mwalimu Nyerere "wanasiasa malaya malaya"

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Chama Cha Mazezeta
Chama cha Mambuzi
Chanzo Cha Matatizo
 
Na hutowaelewa hawa viumbe mazima 🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_20220224_183623~2.jpg
    64.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…