Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

Magufuli hakukosea kupiga marufuku mikutano ya hadhara ya chadema kwa sababu haikua na tija ila kuleta vurugu tu. Ilikua fujo tu kupinga kila kitu hadi serikali ilioko madarakani wanapata shida kutekeleza ilani yao.
Jpm alisema na kwa usahihi siasa baada ya uchaguzi zihamie bungeni na kwenye mabaraza ya madiwani.
Sasa hivi chadema wameishilia kutokana na itikadi na sera yao isiyofaa kwa wananchi. Hata wakifanya mikutano ya hadhara itawalazimu kufuata utaratibu na kuacha uchochezi. Hayo ndio masharti yametolewa kwa wapinzani.
 
CCM wamejaa Vichwa vya PANZI wanashangia upumbavu na ujinga
 
 
Ukiwa CCM safiri na upepo, ukienda kusi na wewe ni huko huko. Hutakuwa na maisha ndani ya chama hiki kama hujui kusafiri na upepo.

Wale wabishi wabishi baada ya Jiwe kuondoka wako wapi? acha kabisa.
 
Ni takwa la Kibiblia katika "Mambo ya Nyakati", usikasirike Dada.
 
Wanakimbia na sungura na kuwinda na mbwamwitu!

Kazi kubwa ya upinzani wa bongo ni kuipindua
hii mindset.

Hii ndiyo kazi ambayo sasa inatakiwa “iendelee”!
 
Wana ccm wengi wao ni bendera fata upepo wanaamini kila linalofwa na rais linakuwa sahihi hawana tofaoti na wafungwa
 
Myama anatatizo la unyumbu akipata uoga hufanya maamuzi ya kijinga sana ambapo iko hivi, watu unaowajua kwamba wanakili huahirisha kutumia akili zao kwasababu ya uoga kwa hili ni kuogopa viongozi wao (Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of fear in this case fearing their leaders)
 
CCM members have a neutral brain.
 
Mimi naona kuna watu wa karibu wanamshauri vibaya mkuu. Je yeye mkuu anadhani kuzuia ilikuwa ukiukwaji katiba?
Haikutakiwa atangaze hadharani kwamba anaruhusu mikutano ya kisiasa. Technically kufanya hivyo itaonekana na yeye pia amekiuka katiba coz alipoingia aliendelea kuzuia! Kama angefanya hivyo mara baada ya kuingia madarakani ingekuwa sawa na pia asingesema anaruhusu bali aseme tu kwamba haki ya mikutano ipo kikatiba so haoni kwa nini wapinzani wanalalamika!!!!
 
Hiyo tabia waliyo nayo wana-ccm, ya unafiki uliopitiliza na ya bendera fuata upepo, hatimaye utaliangamiza Taifa letu![emoji41]
Ni kweli, kama ule unafiki wanaufipa kuona pesa za chama zinaliwa, hakuna uchaguzi wa mwenyekiti halafu hamna anaesema kitu. Au unafiki wa Auntiepasua kwamba alitaka kuuwawa na JPM kwa kushambuliwa na risasi so hawezi kurudi nchini lakini alirudi Mwezi mzima akafanya kampeni nchini kote!!!!
Hivi sasa JPM hayupo, utawala mpya lkn kakomaa anataka kuuliwa.
 
Ni unafiki ule ule wa kumuita EL fisadi halafu unakuja kumuosha na JIK na kumpaka poda kutuambia tumchague. In the voice of Antypasua
 
Hivyo ndivyo walivyo siku zote.
 
Wao huwa wanakwenda na upepo

Tu mkuu

Ova
 
Sasa Wana tofauti gani na wanaChadema na baadhi ya vyama vingine vya upinzani ambao walishangilia ile List of shame pale mwembeyanga alipotajwa Lowasa kuwa fisadi lakini haohao pia wakawa wanampigia deki Barabara na kusukuma gari yake alipoteuliwa na Chadema na ukawa kugombea urais!! Unafiki wa kisiasa ni zaidi ya wendawazimu ea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…