Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Ila ulianza ngono mapema mno,uswahilini si mahala salama sana kwa kulea watoto,huyo bwana aliyekuacha ni yule mlieqnza nae mapenzi ukiwa la saba na yeye form 2?
 
Pole sana Mdada ..kwanza kabisa tambua Yesu ndiye rafiki mwema.....Anza naye kwanza yeye ndo atakayekupa mafariki wema na wazuri zaidi
Pole sana kwa changamoto unazopitia...
Amini ktk Kristo Yesu maana yeye ndo tumaini Letu.
Santee
 
Ila ulianza ngono mapema mno,uswahilini si mahala salama sana kwa kulea watoto,huyo bwana aliyekuacha ni yule mlieqnza nae mapenzi ukiwa la saba na yeye form 2?
Asante Kwa maono yako
 
Biashara ya chipsi itakufaa swala la kuachwa huenda sio rizki.
 
Duh ila wanawake bhana miyeyusho kweli, ukicheki wanavyomshambulia mwenzao hapa balaa tupu
 
Huna pesa kaka,mwenye pesa haperuzi jf kirahisi hivo
njoo pm, tuchati tuelewane nikuoe na uje hapa uthibitishe kazi yangu kitandani na kiukwasi.

Vichaa wenye pesa wapo wengi na mimi nimo kwenye kundi hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…