Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Uko mkoa gani?
 
Katoto ka elfu mbili SIO, usijiingize KWENYE MAHUSIANO yoyote ya kimapenzi TULIA WALAU MWAKA MmOJA. Usipanie mapaja jizuie kwanza. Kwa HIYO HELA usichukue duka au kibanda Bali tafuta BIASHARA NDOGO ya kutembea majumbani kwa WATU. HAPO kwishaaa PESA utapata, marafiki utapata TENA wakutosha pia kupitia kutembeza vitu ut refresh mawazo na mambo ya zamani mengi TU, mkumbatie MUNGU SANA na SIO KILA MTU umueleze ulio yapitia



Kwishaaaaa
 
Asante sana Mungu akubariki
 
Pole kipenzi

Kwanza punguza mawazo...

Ukitulia kabisa ndo uanze biashara hiyo hapo chini

Mama ntilie...

Chai chapati, supu morning 🌞
Mchana wali jaa mchuzi juu..

NB: Usafi wako na kukorofisha jikoni
 
Pole kipenzi

Kwanza punguza mawazo...

Ukitulia kabisa ndo uanze biashara hiyo hapo chini

Mama ntilie...

Chai chapati, supu morning 🌞
Mchana wali jaa mchuzi juu..

NB: Usafi wako na kukorofisha jikoni
Asante sana dadaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…