‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Sio ukabila ila wapemba, wasambaa ,warangi, wabena ,wasukuma na wambulu hawa wanaweza kuishi nyumba moja na wakwe zao ila hao wengine sijaona kwa kweli .

Kingine wanawake wakishazaa roho mbaya na kujiamini vinaongezeka kwa Kasi watu wawe makini sana na nasaba ya mtu.
 
Hajui afanye nini? Serious? 😀😀😀😀

Ila mapenzi hayashauriki
 
Hajui afanye nini? Serious? 😀😀😀😀

Ila mapenzi hayashauriki
Hajui afanye nini? Serious? 😀😀😀😀

Ila mapenzi hayashauriki
Jamaa anawaza

Watoto wake bado wadogo

Miaka nane,miaka tatu na mwaka mmoja!

Hawa akiachiwa NDANI patakalika!!?

Atafanyaje anaomba USHAURI!
 
Kama ana watoto wa kiume... Hakuna shida aombe maisha marefu watoto wakue nao waoe afu aende kuwa tembelea afu akutane na hayo... Maana malipo hapapa..... Umemfanyia visa mama wa mumeo na yeye atafanyiwa visa na wanawe..
 
Stupid!🚮 hili swala halina mjadala na halihitaji ushauri aisee afukuze iyo kenge irudi kwao.

Atapata mke mwingine lakini Mama ni mmoja pekee.
 
Tatizo la wamama wakienda kwa vijana wao waliooa wanataka kukaa mwaka mzima au kuhamia hapo lzima wakosane,nenda mara moja moja na usikae sanaa ,sehem ambayo mama anaweza kaa muda mrefu na kwa amani ni kwa mtoto wa kike tu lakin na penyewe usikae sana
Acha wao waje kukutembelea kwako
 
Mwanamke ushazalisha watoto watatu kinachokushindaa kumwachia mzigo wake ni nini nyie waendekezeni tu kwa kisingizio cha watoto mtakufaa mmesimama
 


Usitufanye wajinga humu!!, wewe ni timu "kataa ndoa".

Unataka kuonyesha ubaya wa ndoa.
 
Makubwa! Mtakuwa mkitofautiana tu ni kuachana
 
Wewe acha upumbavu mama ako umpagie mda wa kuka kwako, mbona huna hadabu, sijui vijana wa siku hizi mna kasoro gani kwenye akili zenu, wewe umpe mkeo priority kuliko mama ako mzazi jinga kabisa.
 
Kuna ness jirani hapa alikuwa anafunga milango yote anamwacha kibarazani mama makwe then kuonana jioni ...so yule bibi alikuwa na Milo miwili nayo hatujui kama ilikuwa Inatimia chai na msosi usiku
 
Wewe acha upumbavu mama ako umpagie mda wa kuka kwako, mbona huna hadabu, sijui vijana wa siku hizi mna kasoro gani kwenye akili zenu, wewe umpe mkeo priority kuliko mama ako mzazi jinga kabisa.

Huwezi lazimisha mtu apende mama yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…