‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Sasa jamaa angeamua mama haendi popote si mama wa WATU angedhurika!!?

Kumbuka wao Ndio wapishi ujue!

Halafu jamaa kasema hakujua kabisa kama mkewe angefanua vile!!

Mama mtu alikomaa apewe nauli na jamaa akawa hana la kufanya!!
Ni mwanamke ila huyo jamaa ni mpuuzi
Akae akijua huyo mama ndo baraka zake sasa aendekeze chini TU,kwani ndoa ni kifungo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kauli aliisema WAKATI jamaa hayupo kaenda stendi tena alisema hadharani mbele ya wapangaji!

Baadae alipoona sarakasi za Hapa na PALE Ndio mama akaamua kumwambia mwanae kia Hapa sipawezi naomba niende!

Mama alipewa mchongo baada ya kuona full sarakasi!

Ndio jamaa akasanuka!
Huyo jamaaa ni wewe kwani kichanga mama ake akifa analelewaje?aseehh
Ndo maana Kuna ongezeko la machoko wengi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mama yangu mzazi haitaji sababu yoyote kukaa kwangu wala hapangiwi muda eti "akae kidogo". Kama hali yangu ya uchumi inaruhusu, atakaa mpaka achoke yeye.

Hoja kama hii yako ndio zinafanya watu wa "kataa ndoa" waonekane wako sahihi!
Kwani mimi nimekupangia? Nimetoa maoni yangu kama hutaki ni wewe.
 
Mama yangu mzazi haitaji sababu yoyote kukaa kwangu wala hapangiwi muda eti "akae kidogo". Kama hali yangu ya uchumi inaruhusu, atakaa mpaka achoke yeye.

Hoja kama hii yako ndio zinafanya watu wa "kataa ndoa" waonekane wako sahihi!

Nyie wanaume mkishaoa mnajali sasa mnaandika tu hapa
 
Kumbukeni nyumbani pindi mnapopata mafanikio Jenga nyumbani boresha mazingira ya nyumbani saidia ndugu na jamaa katika familia muwezeshe mzazi uone kama mkeo atamchukia mama yako

Wake zetu wanawachukia mama zetu kwa sababu wanamini bila siye mama Hana cha kufanya so wanaingiwa wivu wakiamini mama anabana nafasi yake anachukua kipato chako so tutunze wazazi uko mashambani tuwape huduma uko mashambani tuwatembelee uko mashambani

Mke wa kumnyenyekea mama mke kwa Sasa ni kumi kwa mmoja na wazazi wanakuja makwetu kwa sababu uko najumbani hapaeleweki nyumbani pakieleweka mama atapata support ya majirani au waumini wa dini wenzake au ndugu zake hata akiumwa utapigiwa sm tu siyo kukimbilia kupanda bus aje kwako

Watoto wakiume wengi wakishaoa hawasaidii familia zao na unakuta akitoa hela ni 10000 inasaidia nin?
Wengi wanakuwa busy na familia zao wanajali wake zao tu ,wachache sana wanaojali mama zao au baba zao ,watoto wa kike wengi husaidia kwao
 
Uyo mwanamke hakuzaliwa nae.kama ana akili timamu atafanya uamuzi mwenyewe haina haja ata ya kumshauri kwa mazingira ayo
 
Mama yangu mzazi haitaji sababu yoyote kukaa kwangu wala hapangiwi muda eti "akae kidogo". Kama hali yangu ya uchumi inaruhusu, atakaa mpaka achoke yeye.

Hoja kama hii yako ndio zinafanya watu wa "kataa ndoa" waonekane wako sahihi!
Wanawakemkae mkijua roho mbayaa zenu Kwa mama wakwe unamnyima Pepo mmeo,mama mkwe ni mpita njia ushaolewa tulia hataweza kukaa miaka miwili au 10 hapo Kwenu
Sawa sometimes wanabaoa Hawa mabimkubwa ila Sasa utafanyaje ndo mama wa mumeo na we ni mama ako pia,hivii Wanawake tunavyowafanyia wakwe zetu wakifanyiwa na mawifi zetu tutajiskiaje?!!mkwe ni mzazi kakuzalia mmeo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?
yeye mshikaji wako ndo chenga kwani huyo mwanamke ndo kamuoa mshikaji au?
 
Back
Top Bottom