‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Watoto wakiume wengi wakishaoa hawasaidii familia zao na unakuta akitoa hela ni 10000 inasaidia nin?
Wengi wanakuwa busy na familia zao wanajali wake zao tu ,wachache sana wanaojali mama zao au baba zao ,watoto wa kike wengi husaidia kwao
Ndio maana tunasema tuboreshe mazingira ya nyumbani si kusatumia pesa tu, wafungue hata genge mboga mboga,. Wauze hata icr cream kupunguza ukali wa maisha Yani wasiwe wamekaa tu wanasubilia uwatumie pesa kila mda
 
Mwanamke wa aina hiyo sio maana unapooa ni kuwa unaongeza mtu mwingine kwenye familia yenu. Inabidi mke kuheshimu wazazi wa upande wa mume, kwao tayari anakuwa amefutwa kwenye familia.

Namshauri huyo jamaa aliepatwa na tatizo hilo akamfukuze huyo mke na kama watoto akitaka kwenda nao achukue ila wakabidhiane kupitia Ustawi wa Jamii wilaya au mkoa alioko.
 
Yani mwanamke mpaka anasema hivyoo jua kaona anakumuduu mpaka mwisho.... kiuchumi ndo usisemeew yanii hakuheshimu hata kidogooo...!!
 
Sio kila mwanamke anastahili kuolewa na kila mwanaume...

Wapo wanawake ambao waliandaliwa kuolewa na majambazi, magaidi na kila aina ya wanaume wenye kufanya uovu...
 
Watoto wakiume wengi wakishaoa hawasaidii familia zao na unakuta akitoa hela ni 10000 inasaidia nin?
Wengi wanakuwa busy na familia zao wanajali wake zao tu ,wachache sana wanaojali mama zao au baba zao ,watoto wa kike wengi husaidia kwao
Hiyo ni nature mkuu huwezi kupingana nayo. Kiasilia kabisa mwanaume ndio provider wa familia kwa kila kitu, uchumi, ulinzi, peace na kila kitu. Sisi ndio tunawajibika kutoa matunzo ya familia zaidi inafika kipindi huwezi kugawa resources kidogo unazopata kwa familia yako na wazazi wako/ndugu.

Wenzetu nyie mnapokea mnabudget mnavyobaki navyo ndio hivyo mnawasilisha kwenye familia zenu na kuanza kubwabwaja wanaume hawasaidii wazazi wao, na hapa naongelea wenye vipato vya kawaida sio wale wenye uchumi wa kati na uchumi wa juu ambayo kwenye jamii yetu sio wengi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Roho mbaya ni sumu, huyo mwanamke sio kabisa. Ila kwenye ishu ya wazazi, KE huwa ni wabinafsi na wenye chuki sana
Mimi nikiwa kwenye mahusiano licha ya kula mbususu zao huwa napenda kusoma saikolojia ya hawa viumbe. Na kuna vitu vingi nimevijua kutoka kwao

Mara nyingi nikiongea nao kuhusu habari za wazazi huwa ushirikiano wao mdogo sana
 
Mwanamke hii sauti anakuwa nayo sababu unaweza kuta hata chakula ni yeye analeta.
Hapana KILA mmoja anamishe anafanya za kiuchumi,jamaa alimfungulia mke ki genge anauza!yeye ni mfanyakazi mwenzangu!!!

Sema mshikaji ni mpole na mwenye kujali Sana familia yake!si mkorofi mwenye hofu ya Mungu Sana haamini katika vurugu na ugomvi!!!

Nahisi MWANAMKE ka take advantage ya Tabia yake!!
 
Mimi nikiwa kwenye mahusiano licha ya kula mbususu zao huwa napenda kusoma saikolojia ya hawa viumbe. Na kuna vitu vingi nimevijua kutoka kwao

Mara nyingi nikiongea nao kuhusu habari za wazazi huwa ushirikiano wao mdogo sana
Wana ubinafsi sana ila ongelea kuhusu wazazi wake uone anavyo wapambania. Nilishamuacha Ke kwa sababu hiyo, aliniomba hela nikamwambia subiri maana nimetoka kumtumia mama alikua na uhitaji, ghafla likanuna na kuuliza ina maana mama yako ni wa muhimu sana kuliko mim? nilichukia na ikawa mwisho wetu.
 
Ulifanya uamuzi sahihi sana

Mwanamke mbinafsi kama huyo haujiulizi hata mara mbili ni kufanya maamuzi ya kumpiga chini

Wao wanadhani wanaume wote wadhaifu wa hizo mbususu zao au tako eti tuanze kuwanyenyekea tushindwe kuwajali wazazi wetu

Shenzi sana huyo akafie mbele huko
 
Uzuri wa mtu mbinafsi hajifichi hata akijitahidi kuuficha uhalisia wake ni ndani ya muda mfupi sana. Yani tumekutana ukubwani kama ndevu niache kuwajali wazazi kisa kuifurahisha mbususu ni ujinga wa kiwango cha lami. Labda nirogwe
 
"Uzuri wa mtu mbinafsi hajifichi hata akijitahidi kuuficha uhalisia wake ni ndani ya muda mfupi sana"

Yaani hawezi kuwa mnafiki 24/7 week au mwezi mzima utajua tu

Kuna wajinga wajinga wanawaokota huko wanawashika akili unakuta mshikaji kwa wazazi wake wanatumia mkaa mwanzo mwisho kwa manzi kamnunulia jiko la gas na dish la azam na bado anamlipia kodi

Wanaume wanaojielewa wakiwa kwenye mahusiano tunasema CHARITY BEGINS AT HOME kwa wazazi
 
Back
Top Bottom