Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team kataa ndoa inapata consensus hadi upande wa KE...naona ushindi homegroundDuh
Kuna watu wana choyo za asili..
Oyah vijana msioe. Tulieni mpaka mkuwe kiakili
Tena kofi la sikio mpaka asikie kengele nziiii akitoka hapo akili imemkaa sawaHuyo angetakiwa amchape makofi makali Kabla hajamaliza hiyo kauli.
Moja ya majukumu ya Baba ndani ya nyumba ni kuhakikisha nidhamu na adabu vinashika hatamu.
Kijana hata hajui kupigana alafu anataka kuoa😂😂😂
Huyo ni Mume au Baba kweli?
Kama huwezi kuka na mama angu mzazi haijalishi unampenda au la, maanake unanipotezea mda wangu, huwezi kunipenda.Huwezi lazimisha mtu apende mama yako mkuu
Yaani wanawake bhana nyumba nijenge Mimi afu unipangie mama yangu akae mda gani dah yaani kwa Mimi ukionesha sign ata kidg unaendaa kwenuuTatizo la wamama wakienda kwa vijana wao waliooa wanataka kukaa mwaka mzima au kuhamia hapo lzima wakosane,nenda mara moja moja na usikae sanaa ,sehem ambayo mama anaweza kaa muda mrefu na kwa amani ni kwa mtoto wa kike tu lakin na penyewe usikae sana
Acha wao waje kukutembelea kwako
Itategemea na sababu za mzazi kuhamia kwako. Kama ana kwake, hana shida yoyote mfano kama ugonjwa akae tu kwake awe anakuja kusalimia kidogo alafu anaondoka asihamie. Wanawake sisi mara nyingi hatupikiki chungu kimoja. Yataanza maneno umuone mkeo mbaya hata kama mzazi ndio anakosea.Wewe acha upumbavu mama ako umpagie mda wa kuka kwako, mbona huna hadabu, sijui vijana wa siku hizi mna kasoro gani kwenye akili zenu, wewe umpe mkeo priority kuliko mama ako mzazi jinga kabisa.
Yaani wanawake bhana nyumba nijenge Mimi afu unipangie mama yangu akae mda gani dah yaani kwa Mimi ukionesha sign ata kidg unaendaa kwenuu
Wenye moyo wachache Sana!Baada ya kumpokea vizuri akamchukulia kama mama yake anamfukuza kijanja? Kuwa wanaotamani kuwa na mama wake wawaambie asante kunizalia mme na hawana dah kazi ipo.
Itategemea na sababu za mzazi kuhamia kwako. Kama ana kwake, hana shida yoyote mfano kama ugonjwa akae tu kwake awe anakuja kusalimia kidogo alafu anaondoka asihamie. Wanawake sisi mara nyingi hatupikiki chungu kimoja. Yataanza maneno umuone mkeo mbaya hata kama mzazi ndio anakosea.
Kuna wamama ni mwiba, ndio hao wanavunja ndoa za watoto wao.Kina mama wengine wakifika kwa watoto wanaanza kupanga kila kitu upya hapo sasa na kuchokonoa mambo badala tu awe mgeni tu na kula kulala na kutembea
Kwa hii kauli, nahisi wewe ndio muhusika.Angemwachia kichanga angenyonyesha nani!!?
Mama yangu mzazi haitaji sababu yoyote kukaa kwangu wala hapangiwi muda eti "akae kidogo". Kama hali yangu ya uchumi inaruhusu, atakaa mpaka achoke yeye.Itategemea na sababu za mzazi kuhamia kwako. Kama ana kwake, hana shida yoyote mfano kama ugonjwa akae tu kwake awe anakuja kusalimia kidogo alafu anaondoka asihamie. Wanawake sisi mara nyingi hatupikiki chungu kimoja. Yataanza maneno umuone mkeo mbaya hata kama mzazi ndio anakosea.