Msaidie mtoto akiwa kwao na wazazi wake.fanya kile kitu roho inapenda ila kuna wengine wana shida kweli!
Kuna rafk angu yeye anasema kuna mtoto wa shemeji yake anataka kuletewa alafu huyo mwenye mtoto anatamba mjini anakula vizuri tu na life linaenda lakini kwa kigezo ati mtoto hana adabu hivyo anambadilisha mazingira.KILA mtu abebe mzgo wake sio niteseke na mtoto wako wewe umepumzka
Hana adabu aliye mfundisha kutokuwa na adabu si yeye kwahyo anataka ampeleke KWA jamaa Ili akawaambukize na watoto wa jamaa kutokuwa na adabu sometimes sisi watu weusi tunashndwa kupata maendeleo KWA kujibebesha mzigo isiyotuhusu,. Mimi Kama namsaidia mtoto wa mtu mpaka niione kwel haina namna ama wazazi wake wamefarikiKuna rafk angu yeye anasema kuna mtoto wa shemeji yake anataka kuletewa alafu huyo mwenye mtoto anatamba mjini anakula vizuri tu na life linaenda lakini kwa kigezo ati mtoto hana adabu hivyo anambadilisha mazingira.
Si ujinga huu
Shukuru Mungu una uwezo boss. Hata sisi hatupendi kulelewa na wazazi wengine wakati wazazi wetu wapo
Sawa mkuuUtasaidiwa huko huko kwa wazazi wako