The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,281
- 49,313
Hujafa hujaumbika mkuu omba mungu sana hivyo vijisenti usijione umefika kuna Leo na kesho acha roho mbaya
Haujamuelewa mleta uzi, hakatai kusaidia kulea mtoto wa mtu, la hasha. Anachokataa ni kuletewa mtoto nyumbani ukae nae umtengeneze tabia kwa kuwa amewashinda wazazi wake. Kwa mzazi anaejitambua hata awe na hali ngumu kiasi gani hawezi kumwachia jukumu la kulea mtu mwingine yeye akiwa na uwezo hata uwe mdogo kiasi gani, atajibana kwa mazingira aliyonayo.
Ikija suala la kuuguliwa au kukosa uwezo wa kujitafutia kipato hiyo ni kesi nyingine na inajulikana. Pia hana shida kuwatumia msaada huko huko kwao.
Nafikiri nawewe utakua umeelewa vizuri somo.