Hujafa hujaumbika mkuu omba mungu sana hivyo vijisenti usijione umefika kuna Leo na kesho acha roho mbaya
Utakuta mtu anakuletea mtoto wake ati ukae nae yeye kamshindwa tabia, sasa umemshindwa wewe uliyemzaa nitamuweza mimi ambaye sijui uchungu wa huyu mwana?
Ati anakuletea ukae naye kisa maisha magumu hivyo msaidie kulea, kwani akikaa huko huko na wewe mzazi wake alafu mimi nikawa namsaidia akiwa hapo kwenu kuna tatizo gani wakati msaada ndo ule ule?
Sikatazi watoto waje kunitembelea hapana, ila kuja moja kwa moja kukaa na kuwalea lazima kuwa na masharti ya kutosha tu.
Dunia ya sasa huwezi kukaa na mtoto wa mtu wakati wazazi wake wanatanua tu au wanasingizia maisha magumu.
Kaa na umlee mwanao kama maisha magumu na yeye ayaone ili baadae akitoboa awakumbuke wazazi namna mlivyoishi kwa tabu.
Mtoto analelewa na mjomba wake anayejiweza akija kuwa mkubwa haoni uchungu wa wazazi wala hakumbuki mambo ya njaa kwa sababu wakati wazazi mna njaa hamkuwahi kukaa nae pamoja.
Ni hayo tu.
Utakuta huyo anafyatua kwengineKuna rafk angu yeye anasema kuna mtoto wa shemeji yake anataka kuletewa alafu huyo mwenye mtoto anatamba mjini anakula vizuri tu na life linaenda lakini kwa kigezo ati mtoto hana adabu hivyo anambadilisha mazingira.
Si ujinga huu
🤣🤣🤣🤣EmbuuuuMimi nina uwezo wa kukuzalidha hata kama huna kizazi. Kuna technique flan hivii na position flani
Hujaelewa mada, kasema kaa na mwanao aone shida ili akusaidieHujafa hujaumbika mkuu omba mungu sana hivyo vijisenti usijione umefika kuna Leo na kesho acha roho mbaya
Ukweli mchungu kama pandora paperUtakuta mtu anakuletea mtoto wake ati ukae nae yeye kamshindwa tabia, sasa umemshindwa wewe uliyemzaa nitamuweza mimi ambaye sijui uchungu wa huyu mwana?
Ati anakuletea ukae naye kisa maisha magumu hivyo msaidie kulea, kwani akikaa huko huko na wewe mzazi wake alafu mimi nikawa namsaidia akiwa hapo kwenu kuna tatizo gani wakati msaada ndo ule ule?
Sikatazi watoto waje kunitembelea hapana, ila kuja moja kwa moja kukaa na kuwalea lazima kuwa na masharti ya kutosha tu.
Dunia ya sasa huwezi kukaa na mtoto wa mtu wakati wazazi wake wanatanua tu au wanasingizia maisha magumu.
Kaa na umlee mwanao kama maisha magumu na yeye ayaone ili baadae akitoboa awakumbuke wazazi namna mlivyoishi kwa tabu.
Mtoto analelewa na mjomba wake anayejiweza akija kuwa mkubwa haoni uchungu wa wazazi wala hakumbuki mambo ya njaa kwa sababu wakati wazazi mna njaa hamkuwahi kukaa nae pamoja.
Ni hayo tu.
right on point...Shukuru Mungu una uwezo boss. Hata sisi hatupendi kulelewa na wazazi wengine wakati wazazi wetu wapo.
Shukuru Mungu una uwezo boss. Hata sisi hatupendi kulelewa na wazazi wengine wakati wazazi wetu wapo.
Hujafa hujaumbika mkuu omba mungu sana hivyo vijisenti usijione umefika kuna Leo na kesho acha roho mbaya