Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #121
Nimekiri mimi siyo mwandishi mzuri kuna vipengele nimeruka hapo mambo ni mengi tuKama sio sababu kwa nini ubaya ulianzia pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekiri mimi siyo mwandishi mzuri kuna vipengele nimeruka hapo mambo ni mengi tuKama sio sababu kwa nini ubaya ulianzia pale
Alishikwa ufahamu full stopAlikuwa anasema akimuacha ikitokea kaumwa nani atakuwa anamuogesha, ndiyo maana akabaki kumg'ang'ania
Ushauri kwamba tuoe wanawake watakaooenda watoto wetu nu sawa. Ila nyie wanawake watu wabaya sana, tukishawaoa mnageuka mnakuwa majoka yenye sumu kali. Si ajabu hata wewe ukaja kufanya hayohayo kwa watoto wa mumeo.Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi.
Huyu mwanamke wa baba alikuwa mkarimu, mchapakazi, msafi, mchangamfu na ana stori nyingi sana, kabila lake alikuwa mngoni. Baada ya kuanza kuishi naye mwanzoni mambo yalikuwa mazuri tu, lakini baadae baada ya kufika secondary na kipindi hiki ndiyo kilikuwa kipindi cha ukuaji, kwahiyo vitabia vya ujeuri jeuri nilikuwa navyo hapo ndiyo tukaanza kukosana sasa.
Nakumbuka nilikuwa nikikosea mama huyu alikuwa ananipiga sana kama anataka kuua mtu, kama hakuna mtu wa kukugombelezea hapo naona anaweza hata kukuvunja kiungo, maana alikuwa akikasirika mishipa inamtoka na anakuwa na nguvu za ajabu, ikafika kipindi akaanza kuninenea maneno mabaya sana huyu mama, nikikumbuka hayo maneno sitamani hata kuonana nae.
Wakati haya yote yanatendeka baba angu alikuwa anaona lakini ni vile mapenzi yana nguvu kwahiyo aliacha mimi niteseke ili wasikosane na mkewe, ilifika kipindi tulikuwa hatuongei kabisa zaidi ya mwaka kipindi hiki nilikuwa nimeshamaliza kidato cha 4, kwahiyo nilikuwa naenda kwa ndugu nakaa alafu narudi nyumbani, sasa kuna siku tulipishana kauli na huyu mama akaanza kusema maneno mabaya mpaka kunitukana na kusema natembea na baba angu😭😭 hili alikuwa analiongea kama kitu cha kawaida sana, hakika aliniumiza sana, akaniambia nimeathirika mimi, akaniambia anaweza hata kuninyonga nisimchukulie poa😭😭 sasa sijui ni lini alinipima, kiukweli sikuweza kumvumilia tulijibishana hapo, na mzee alikuwepo akawa anaamualia maana huyu mama alitaka kunipiga.
Sasa mzee akaniambia niende kumuita mjumbe, nikaenda nikarudi mjumbe alikuwa bize nikaenda kumuita jirani yetu mama mmoja hivi ambaye pia ni shosti yake na mama, basi kufika pale akawa anasuluhisha lakini huyu mama alikuwa anasema hawezi kunisamehe, hasemi kikubwa nilichomkosea ila ndiyo hivyo tu anasema.
Mwisho wa siku, akaniambia amenisamehe basi tukashikana mikono ila mimi nikamuona usoni kama ameridhia kinafki tu, sikutaka mambo mengi nikawa sawa tu na mimi nikafurahia pale.
Sasa mimi nilikaa nyumbani kama siku mbili tatu nikaondoka nikaenda kwa ndugu zangu, nilivyokuwa huko mzee akanipigia simu akaniambia wamegombana na mkewe ameongea maneno ya hovyo, yeye mwenyewe anasema kamchoka mkewe, akaniambia walivyogombana akawa anasema hajanisamehe pale aliona aibu tu sababu ya yule mama jirani, aisee mimi nikamwambia watajua wenyewe, wamalizane wenyewe maana kugombana wamezoea wanashikianaga hadi mapanga na kesho unawakuta wako wanacheka kama hakuna kilichotokea.
Ikapita muda nikarudigi home, maisha mengine yakaendelea kama kawa japo hivyo hivyo kiunafki nafki tu, lakini hadi hii leo tunaongea tu, nilimsamehe kweli lakini moja kwa moja lakini sina amani na furaha ya kupafurahia nyumbani ndiyo maana huwa siendi mara kwa mara hadi nipigiwe simu waniulize mbona kimya siendi kuwasalimia ndiyo ntaenda.
Hivi, sisi wanawake tuna shida gani kwanini hatuwezi kuishi kwa upendo na watoto wa wanawake wenzetu, sasa nilichogundua japo sijafanya uchunguzi wa kina sana ila nimegundua huyu mama ana shida kidogo kwenye afya ya akili au kuna ugonjwa unamsumbua ndiyo unampelekea kupenda ukorofi na fujo hivyo maana alikuwa akitaka kunipiga anakuwa anataka kama kuning"ata sasa sijui kwanini, kingine ni chuki na roho mbaya pia.
Haya matukio na maisha niliyopitia hapo yameniachia alama na makovu makubwa nashindwa kupona kabisa kuna muda huwa nakaa namuuliza Mungu hivi kwanini umeruhusu nipitie maisha ya namna hii, kwanini umeruhusu mama angu aondoke mapema naimani angekuwepo mama angu nisingepitiaga yote haya na pengine ningekuwa na furahia background yangu.
Kiukweli nilikuwa nikimchukia baba yangu, lakini sioni faida ya kufanya, nimeamua tu niache hayo maana kuna leo na kesho, nyie single faza jaribuni kuoa au kuishi na wanawake watakaowapenda watoto wenu, siyo unaishi na mwanamke unajua kabisa hampendi mwanao ila kwasababu wewe anakupenda unaganda nae hii siyo sawa.
Mimi sina la zaidi ndugu zangu, asanteni kwa kusoma japo mimi siyo mwandishi mzuri, nadhani sijaandika kama inavyopaswa lakini atleast imeeleweka.
Huwezi ishinda hio roho hadi uzaliwe mara ya piliNamuomba Mungu nisije kuwa hivyo
Bora maana ungekuwa jela mida hiiNdiyo maana nilimuacha tu
Hata mama yake lazima atakuwa hivyo.Huyu ukorofi ni asili yake
ila nina uhakika na wewe utakuwa kuwa hivyo hivyo kutokana na hayo maleziNitamudhibu na kumrekebisha kwa busara na siyo kumnenea maneno mabaya
Pole sanaa kwa masaibu uliyopitia, piga moyo konde, Muombe Mungu akupe mume aliye bora kwakoBinafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi.
Huyu mwanamke wa baba alikuwa mkarimu, mchapakazi, msafi, mchangamfu na ana stori nyingi sana, kabila lake alikuwa mngoni. Baada ya kuanza kuishi naye mwanzoni mambo yalikuwa mazuri tu, lakini baadae baada ya kufika secondary na kipindi hiki ndiyo kilikuwa kipindi cha ukuaji, kwahiyo vitabia vya ujeuri jeuri nilikuwa navyo hapo ndiyo tukaanza kukosana sasa.
Nakumbuka nilikuwa nikikosea mama huyu alikuwa ananipiga sana kama anataka kuua mtu, kama hakuna mtu wa kukugombelezea hapo naona anaweza hata kukuvunja kiungo, maana alikuwa akikasirika mishipa inamtoka na anakuwa na nguvu za ajabu, ikafika kipindi akaanza kuninenea maneno mabaya sana huyu mama, nikikumbuka hayo maneno sitamani hata kuonana nae.
Wakati haya yote yanatendeka baba angu alikuwa anaona lakini ni vile mapenzi yana nguvu kwahiyo aliacha mimi niteseke ili wasikosane na mkewe, ilifika kipindi tulikuwa hatuongei kabisa zaidi ya mwaka kipindi hiki nilikuwa nimeshamaliza kidato cha 4, kwahiyo nilikuwa naenda kwa ndugu nakaa alafu narudi nyumbani, sasa kuna siku tulipishana kauli na huyu mama akaanza kusema maneno mabaya mpaka kunitukana na kusema natembea na baba angu😭😭 hili alikuwa analiongea kama kitu cha kawaida sana, hakika aliniumiza sana, akaniambia nimeathirika mimi, akaniambia anaweza hata kuninyonga nisimchukulie poa😭😭 sasa sijui ni lini alinipima, kiukweli sikuweza kumvumilia tulijibishana hapo, na mzee alikuwepo akawa anaamualia maana huyu mama alitaka kunipiga.
Sasa mzee akaniambia niende kumuita mjumbe, nikaenda nikarudi mjumbe alikuwa bize nikaenda kumuita jirani yetu mama mmoja hivi ambaye pia ni shosti yake na mama, basi kufika pale akawa anasuluhisha lakini huyu mama alikuwa anasema hawezi kunisamehe, hasemi kikubwa nilichomkosea ila ndiyo hivyo tu anasema.
Mwisho wa siku, akaniambia amenisamehe basi tukashikana mikono ila mimi nikamuona usoni kama ameridhia kinafki tu, sikutaka mambo mengi nikawa sawa tu na mimi nikafurahia pale.
Sasa mimi nilikaa nyumbani kama siku mbili tatu nikaondoka nikaenda kwa ndugu zangu, nilivyokuwa huko mzee akanipigia simu akaniambia wamegombana na mkewe ameongea maneno ya hovyo, yeye mwenyewe anasema kamchoka mkewe, akaniambia walivyogombana akawa anasema hajanisamehe pale aliona aibu tu sababu ya yule mama jirani, aisee mimi nikamwambia watajua wenyewe, wamalizane wenyewe maana kugombana wamezoea wanashikianaga hadi mapanga na kesho unawakuta wako wanacheka kama hakuna kilichotokea.
Ikapita muda nikarudigi home, maisha mengine yakaendelea kama kawa japo hivyo hivyo kiunafki nafki tu, lakini hadi hii leo tunaongea tu, nilimsamehe kweli lakini moja kwa moja lakini sina amani na furaha ya kupafurahia nyumbani ndiyo maana huwa siendi mara kwa mara hadi nipigiwe simu waniulize mbona kimya siendi kuwasalimia ndiyo ntaenda.
Hivi, sisi wanawake tuna shida gani kwanini hatuwezi kuishi kwa upendo na watoto wa wanawake wenzetu, sasa nilichogundua japo sijafanya uchunguzi wa kina sana ila nimegundua huyu mama ana shida kidogo kwenye afya ya akili au kuna ugonjwa unamsumbua ndiyo unampelekea kupenda ukorofi na fujo hivyo maana alikuwa akitaka kunipiga anakuwa anataka kama kuning"ata sasa sijui kwanini, kingine ni chuki na roho mbaya pia.
Haya matukio na maisha niliyopitia hapo yameniachia alama na makovu makubwa nashindwa kupona kabisa kuna muda huwa nakaa namuuliza Mungu hivi kwanini umeruhusu nipitie maisha ya namna hii, kwanini umeruhusu mama angu aondoke mapema naimani angekuwepo mama angu nisingepitiaga yote haya na pengine ningekuwa na furahia background yangu.
Kiukweli nilikuwa nikimchukia baba yangu, lakini sioni faida ya kufanya, nimeamua tu niache hayo maana kuna leo na kesho, nyie single faza jaribuni kuoa au kuishi na wanawake watakaowapenda watoto wenu, siyo unaishi na mwanamke unajua kabisa hampendi mwanao ila kwasababu wewe anakupenda unaganda nae hii siyo sawa.
Mimi sina la zaidi ndugu zangu, asanteni kwa kusoma japo mimi siyo mwandishi mzuri, nadhani sijaandika kama inavyopaswa lakini atleast imeeleweka.
Namuomba Mungu aniepushie hiloila nina uhakika na wewe utakuwa kuwa hivyo hivyo kutokana na hayo malezi
Hakika mkuu namuomba Mungu sana juu ya hiloPole sanaa kwa masaibu uliyopitia, piga moyo konde, Muombe Mungu akupe mume aliye bora kwako
Nothing is impossible usinikatishe tamaaHuwezi ishinda hio roho hadi uzaliwe mara ya pili
Inawezekana sijawafatilia sana ila nasikia ana dada zake na wadogo zake wana hiyo shida na mdogo wao mmoja ni kichaa kabisaHata mama yake lazima atakuwa hivyo.
Ni watu wanaokosa upendo utotoni ugeuka mashetani ukubwani
Hapana siwezi kufanya hivyo mkuu, kwanza hakuna faida yoyote kwenye hayoUshauri kwamba tuoe wanawake watakaooenda watoto wetu nu sawa. Ila nyie wanawake watu wabaya sana, tukishawaoa mnageuka mnakuwa majoka yenye sumu kali. Si ajabu hata wewe ukaja kufanya hayohayo kwa watoto wa mumeo.
Na hana msimamo piaAlishikwa ufahamu full stop
Ni ugonjwa unaitwa bipolar hata mimi nilikosea kuoa nikao mke wa ugonjwa huo nasubiria mambo yakae sawa nitoke nduki bila kuathiri watoto maana naona mambo yangu hayaendi kila siku mikosi kafunga baraka zangu.Inawezekana sijawafatilia sana ila nasikia ana dada zake na wadogo zake wana hiyo shida na mdogo wao mmoja ni kichaa kabisa
SawaBint ulianza ujeuri mwenyewe,labda kama hukusoma hiyo story ukaimaliza ijapo Mshana Jr kakuletea tena urejee hayo maelezo.
Inaonesha bado una jeuri na dharau kwa huyo mama aliyekulea tangu ukiwa mdogo.Hamna ndiyo hivyo tu alikuwa anapelekwa pelekwa na mkewe
Hehehe!!!Sijui mana sijasoma mada