Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

Ushauri kwamba tuoe wanawake watakaooenda watoto wetu nu sawa. Ila nyie wanawake watu wabaya sana, tukishawaoa mnageuka mnakuwa majoka yenye sumu kali. Si ajabu hata wewe ukaja kufanya hayohayo kwa watoto wa mumeo.
 
Pole sanaa kwa masaibu uliyopitia, piga moyo konde, Muombe Mungu akupe mume aliye bora kwako
 
Ushauri kwamba tuoe wanawake watakaooenda watoto wetu nu sawa. Ila nyie wanawake watu wabaya sana, tukishawaoa mnageuka mnakuwa majoka yenye sumu kali. Si ajabu hata wewe ukaja kufanya hayohayo kwa watoto wa mumeo.
Hapana siwezi kufanya hivyo mkuu, kwanza hakuna faida yoyote kwenye hayo
 
Inawezekana sijawafatilia sana ila nasikia ana dada zake na wadogo zake wana hiyo shida na mdogo wao mmoja ni kichaa kabisa
Ni ugonjwa unaitwa bipolar hata mimi nilikosea kuoa nikao mke wa ugonjwa huo nasubiria mambo yakae sawa nitoke nduki bila kuathiri watoto maana naona mambo yangu hayaendi kila siku mikosi kafunga baraka zangu.
Ana nyota ya kaa asili yake ni maji mimi simba asili ni moto so unakuta moto unazimwa na maji.So hatumatch siku hii elewa hii elimu kabla ya kuoa.
Inatakiwa nioe mke mwenye nyota za upepo.
Upepo unapuliza moto ningekuwa mbali sana.Ana maneno makali akikutamkia lazima mabaya yakupate
 
Mtoto wa kambo akirekebishwa na kuchapwa anaona amefanyiwa kitendo cha ajabu kuwahi kutokea duniani, ila mama zao wakiwachapa hadi wanawachoma mikono aahhh ni sawa tu! Kama unajua kuna mahalu ulibadilika kwa sababu ya kuona umeanza kukua huyo mama alikuwa sawa, na inaonekana ukaanza kumuona sio mama tena na wala hana haki ya kukuchapa kwenye upuuzi unaoufanya.
Na ujue pia alikuepusha na ndoa za utotoni na kubakwa pia maana naamini kupitia bakora zake kuna mahali ulipata kauoga.
Na vile vile angekuacha na makuzi yako ukazaa ukiwa darasa la 7 ungekujaga kulalamika mama wa kambo hakukupa malezi mazuri na kukuongoza hadi ukabakwa ukazaa utotoni!
Mjifunzege kuwa na shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…