Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Chezea CCM kwani kina
Kangi Lugola Na wenzake nao siwali kamatwa kwani mwisho wake imekuwaje? Tusidanganyane
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Natazama nani mwenye ujasiri wa Magufuli sioni. Mpeni muda tu. Huwezi kuleta mabadiliko ndani ya nchi iliyoharibika kiasi hiki overnight na bila maumivu na mtikisiko kidogo.
 
Tuone kama nyumba za serikali zitarudishwa!!!
Na mhusika kutinduliwa hadharani.
Na yeye angekamatwa na kuhojiwa kuhusu ufisadi unaodaiwa kufanya wakati wa zoezi la kuuza nyumba hizo au ikibidi hata vimada wahojiwe walipataje hizo nyumba wakiwa sio watumishi wa serikali.
 
Natazama nani mwenye ujasiri wa Magufuli sioni. Mpeni muda tu. Huwezi kuleta mabadiliko ndani ya nchi iliyoharibika kiasi hiki overnight na bila maumivu na mtikisiko kidogo.
Apewe muda gan...?? kina lugola wameachiwa,lugumi hakuna kes tusubir ...hawa UVCCM au?
 
Hapo ndipo huwa namkubali Magufuli.. Kuna mijitu ilikuwa inashabikia Ccm ili kuficha madhambi yao

Kwani mkuu, ccm kama chama ina uhusiano gani na watu wanaotaka kuficha madhambi yao? Tafadhali fafanue kidogo...

Na kwa hiyo inamaana Magufuli anajua kuwa chama chake kina uhusiano na watu wanaotaka kuficha madhambi yao?
 
huyu jamaa hakuwahi kusoma mkwawa iringa miaka ya 95 mpaka 97 au 98, manake nafikiri kama aliwahi soma pale
 
Nadhani mahakama ya mafisadi itaanza na hawa hawa
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Kamua baba, kanyaga twende ngosha, misuli sasa inaanza kunyoshwa, akimalizana na ccm anaanza na ruzuku za vyama.
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…