Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.......
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.....
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba
Hii ni njia moja wapo ya kukitoa chama au kiongozi aliyefanya nchi kama yakwake.viongozi wengi wakishika nchi basi wanajiona kama vile Miungu watu,awataki kusikiliza ushauri wa mtu yoyote yule na wapinzani uwaona kama vile maadaui katika uwongozi wao......
Hii ni njia ambayo hata wazungu wenyewe wanaodai demokrasia uwa wanatumia hii njia katika nchi nyingine kuwatoa viongozi ambao wanaona kama vile awafati haki za binadamu.leo hii wanapiga kelele wakati msafara wa mwisho wa marehemu kanali Gaddafi wakati anatoroka Libya,wao ndo waliushambulia na ndege za kivita,mwisho wa siku Gaddafi akaishia kupigwa na kuzungushwa mitaani.ila wao wakifanya wanaona kama vile wapo sahihi,kwa wengine ni uvunjifu wa katiba.......
Inasemekana hata yule jamaa aliyejenga kwao nae alikuwa na mpango wa kutaka kubadili maandishi kutoka kwenye awamu 2 mpaka awamu 5.na mipango yote ilishakuwa tayari,ilikuwa imebaki kusubiri siku ikaribie tu mipango ipelekwe bungeni.
Inasemekana baada ya taarifa kuvuja na kuwafikia baadhi ya wazee wa nchi.ikabidi wazee wamfate mjomba wake mrisho mpoto na kumwambia kila kitu.mjomba ikabidi atengeneze mipango ya assasination......
Inasemekana mpango wa kwanza ulikuwa wa sumu,mpango wa 2 ulikuwa ugojwa,na mpango wa 3 ulikuwa ni mapinduzi ya kijeshi.mpango wa kwanza inasemekana uliferi kwa sababu kuna mtu alishobokea sumu,akaondoka yeye baada ya mzee.mpango wa 2 inasemekana nao kama ungeferi basi ungekuja mpango wa 3 maana mpango wa 3 ulikuwa nao ushatengenezewa mipango kabisa....
Jamaa aliweka mizizi kila sehemu kwa iyo ilikuwa ni ngumu kumpinga kwenye chama au kwenye bunge......
Sent using
Jamii Forums mobile app