Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaSorry nimekukosea aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaSorry nimekukosea aisee
Kaka umepitia hata mgambo wa parangoto, kama ni la hasha, basi we ni pangu pakavu tia mchuzi tu kama mimi..[emoji85]kama mimi
This condemnation is just an academic as it cannot change anything on the ground. The die is cast, dictator Alpha Conde cannot regain the power he has lost.
Time will tellThis condemnation is just an academic as it cannot change anything on the ground. The die is cast, dictator Alpha Conde cannot regain the power he has lost.
He forced his way into the state house last year after bribing members of parliament to change the constitution so as to allow him to run for the third term in office against the popular wishes of the majority of the Guineans.
Whatever the UN position in regard to the coup, the bitter fact is that the majority of the people of Guinea are firmly behind the coup and are anxiously awaiting a transition to true democracy that the ousted dictator Conde has decimated.
Let us take this opportunity to loud the coup plotters and wish the country all the best in securing a democratic Guinea that we, Tanzanians, can emulate.
hiyo jumuiya iliyopinga hayo mapinduzi ni kama kikundi Cha wazee wa msimbazi kujadili timu Kwa mbwembwe huku wakinywa kahawa na kashata bila kua na msaada wowoteJumuiya ya Africa Magharibi ya ECOWAS wameisimamisha uanachama Guinea kupinga hayo mapinduzi
MmmhHakuna kitu kibaya kama kunywa uji wa mapumba ya mahindi na chumvi kama chakula kikuu cha siku.
Ukute mtoa mada ni muhitimu wa chuo fulani tangu 2013 hana ajira, kakaa kwa shemeji imeshindikana akajiunga na forever living anatembea na vipeperushi kila siku kazi kuhudhuria mikutano ya motivational speakers tu kila alhamisi na anasali kwa Gwajima. Unaweza kuelewa ni mtu wa aina gani
Wanaokula hivyo hawali kwa kupenda.Hakuna kitu kibaya kama kunywa uji wa mapumba ya mahindi na chumvi kama chakula kikuu cha siku.
Ukute mtoa mada ni muhitimu wa chuo fulani tangu 2013 hana ajira, kakaa kwa shemeji imeshindikana akajiunga na forever living anatembea na vipeperushi kila siku kazi kuhudhuria mikutano ya motivational speakers tu kila alhamisi na anasali kwa Gwajima. Unaweza kuelewa ni mtu wa aina gani
Mapinduzi yaliyomuondoa Sultan Jamshid pale Zanzibar na kuzaa Serikali iliyopo mpaka Leo yaliandikwa kwenye katiba?Yale ni maigizo kama maigizo mengine. wanashangilia kuvunjwa katiba ya Guinea?
Katiba inatamka wazi kuwa katika njia za kumuondoa Raisi madarakani hiyo ya mapinduzi haimo kwenye katiba
Raisi Conde ni Raisi halali wa Guinea hadi saa hii kwa mujibu wa katiba ya Guinea siyo hilo Jambazi Mamady Doumbouya
Katiba ilikuwepo vizuri waliyoandikiana Sultan mkoloni wa kiarabu na mwingereza mkoloni mwenzieMapinduzi yaliyomuondoa Sultan Jamshid pale Zanzibar na kuzaa Serikali iliyopo mpaka Leo yaliandikwa kwenye katiba?
Watakachofanya ni kuunda hiyo serikali ya mpito ambayo itashirikisha wadau wote wa kisiasa nchini Guinea kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi huru na haki.Time will tell
Mamady Doumbouya must go no way. Constitution of Guinea should be respected not the army thugs like Mamady Doumbouya and his team of thugs
Uongo kazi ya jeshi ni kulinda mipaka sio ndani hiyo kazi ya Polisi hilo Jambazi Mamady linatakiwa kuuawaKazi kubwa ya Jeshi ni kulinda wananchi dhidi ya Maadui wa Nje na wa Ndani.Rais na Bunge la Guinea walikuwa adui wa wananchi.
Mwamba atawavusha.
Uongo kazi ya jeshi ni kulinda mipaka sio ndani hiyo kazi ya Polisi hilo Jambazi Mamady linatakiwa jeshi kuuawa
Kuna mkoloni mmoja hapa Afrika Mashariki amekwenda kuzimu ..Mungu ampe adhabu Kali sana huko aliko...alijiingiza madarakani bila kufuata hata katiba hiyo hiyo ya kikoloni iliyotungwa na watu Tisa..Mijitu kama Ile ni ya kuipindua na kuitia korokoroni tu. Yaani uwafanye wenzio wote mafala mjanja wewe tu.Aliekwambia kupindua nchi lazima uondolewe na jeshi Nani? HATA KIONGOZI akiingia madarakani kwa kubaka uchaguzi nae anakuakua amepindua mamlaka ya wananchi.Katiba ilikuwepo vizuri waliyoandikiana Sultan mkoloni wa kiarabu na mwingereza mkoloni mwenzie
Waswahili haikuwa yetu ndio maana tukabeba marungu na mapanga kumkimbiza Sultan na kilichotokea alikiimbilia uingereza kwa aliyemuweka kibaraka tukaweka katiba yetu hiyo isiyo yetu ya wakoloni wawili tukaitupa
Mkuu hii ni kauli yako au ume quote kutoka kwa raia wa Guinea? Maana si kwa hisia hizi.Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba
Una wenge sanaNaomba Mama Samia Tanzania tuwahi haraka kutangaza kuwa hatuitambui serikali ya huyo jambazi Mamady Doumbouya aliyeingia madarakani kinyume cha katiba ya Guinea
Huyo ni Kati ya watu ambao mpk sasa hawaamini kwamba kipenzi chao kilichoingia madarakani kwa mabavu 2020 hakipo tena duniani.Mkuu hii ni kauli yako au ume quote kutoka kwa raia wa Guinea? Maana si kwa hisia hizi.
Anzisha petition.Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba