permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Naona unataka kuwambusha wanajeshi wetu kile walichopaswa kufanya miaka flani hivi iliyopita.Bunge la Tanzania liitake serikali itoe tamko kuhusu kilichotokea Guinea na nini msimamo wa serikali
Mbunge yeyote asimame amhoji waziri mkuu kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo au ahoji Waziri wa Mambo ya nje kipindi cha maswali na majibu
Bunge wake up
Guinea ni nchi huru, kwanini wewe beberu wa TANZANIA uwapangie?Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba
Walishazalisha wakimbizi wakaja Tanzania lazima nikomaeGuinea ni nchi huru, kwanini wewe beberu wa TANZANIA uwapangie?
Hujielewi bunge letu pia linatakiwa kutoa tamko kulaani kilichofanywa na huyo jambazi mteka Raisi anayeitwa Mamady Doumbouya kwa kulidhalilisha maamuzi ya bunge lilichaguliwa na wananchi ambalo liko kikatibaKupata vichekesho vingine kama hivi nitume msg kwenda namba gani? 🤣 🤣 🤣
Lini Guinea imeleta wakimbizi Tanzania?Walishazalisha wakimbizi wakaja Tanzania lazima nikomae
Rwanda tunamheshimu Kagame sababu hazalishi wakimbizi kuja kwetu akitokea mwehu kama huyo Mamady Doumbouya akampindua mimi nitakuwa wa kwanza kwenda Rwanda na shoka kumpasua kichwa asituzalishie wakimbizi
Tanzania tumepokea wakimbizi wengi sana kutoka Africa Magharibi kutoka Guinea, Togo, Nigeria, Ghana nk miaka ya 60 na 70 sitaki history ijirudieLini Guinea imeleta wakimbizi Tanzania?
Je ni halali kwa viongozi wa kiafrika kuchambia katiba za nchi zetu?
Naona hao wanajeshi wapo sahihi kulinda katiba ya Guinea
Kwani umelazimishwa kupokea wakimbizi?Walishazalisha wakimbizi wakaja Tanzania lazima nikomae
Rwanda tunamheshimu Kagame sababu hazalishi wakimbizi kuja kwetu akitokea mwehu kama huyo Mamady Doumbouya akampindua mimi nitakuwa wa kwanza kwenda Rwanda na shoka kumpasua kichwa asituzalishie wakimbizi
Wewe kama naniBunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba
Wamrudishe upesi? Unatoa amri kama nani sasaBunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba
Kama mwafrika mpenda demokrasia ya kuabadili maraisi kwa kuheshimu katibaWamrudishe upesi? Unatoa amri kama nani sasa
Maandishi yako na lugha yako ni majibu tosha kwamba wewe ni mtu wa namna ganiKama mwafrika mpenda demokrasia ya kuabadili maraisi kwa kuheshimu katiba
Mwambieni huyo bwege jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba na mimi nikikutana naye nampiga nyundo ya kichwa mbwa mkubwa
Africa tunamtaka Raisi Conde wetu sio jambazi yeye
Kiongozi si unaona doumbo alivyofanyaKama mwafrika mpenda demokrasia ya kuabadili maraisi kwa kuheshimu katiba
Mwambieni huyo bwege jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba na mimi nikikutana naye nampiga nyundo ya kichwa mbwa mkubwa
Africa tunamtaka Raisi Conde wetu sio jambazi yeye
Naomba Mama Samia Tanzania tuwahi haraka kutangaza kuwa hatuitambui serikali ya huyo jambazi Mamady Doumbouya aliyeingia madarakani kinyume cha katiba ya Guinea
Hii ni njia moja wapo ya kukitoa chama au kiongozi aliyefanya nchi kama yakwake.viongozi wengi wakishika nchi basi wanajiona kama vile Miungu watu,awataki kusikiliza ushauri wa mtu yoyote yule na wapinzani uwaona kama vile maadaui katika uwongozi wao......Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.......
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.....
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba
Kama mwafrika mpenda demokrasia ya kuabadili maraisi kwa kuheshimu katiba
Mwambieni huyo bwege jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba na mimi nikikutana naye nampiga nyundo ya kichwa mbwa mkubwa
Africa tunamtaka Raisi Conde wetu sio jambazi yeye
Ninyi si ndio huwa mnasema sijui nchi huru isiingiliwe?Sasa unataka bunge letu liingilie masuala ya ndani ya nchi nyingine?Bunge la Tanzania liitake serikali itoe tamko kuhusu kilichotokea Guinea na nini msimamo wa serikali