Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Wangetaka kuachia madaraka tungeona hata dalili wakitamka wana lengo la kuitisha uchaguzi ndani ya muda fulani. Historia ya mapinduzi mengi yanayofanyika Afrika wanajeshi huwa hawatoki kwahiyo raia mnakuwa mmeondoa tatizo mmeingiza tatizo na wanajeshi huwa hawana uwezo wa kuongoza nchi.Kwa siku moja tu !!. Lazima mazingira ya kuirudisha serikali kwa raia yaandaliwe . Ikiwemo na hilo Bunge lililofanya mambo haramu lazima liondolewe .
Hicho ndicho mtachofanyiwa maccmBunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.
Mimi bado namtambua Rais Conde kama Rais halali wa Guinea na nautaka umoja wa Afrika usimtambue huyo jambazi Mamady Doumbouya na Kikosi chake cha majambazi makomandoo waliomteka Rais halali na kujitia eti wamempindua.
Vikosi vingine nendeni mkalipindue hilo jangili. Mamady Doumbouya arudishwe Rais Conde
Naitaka jumuiya ya kimataifa ilaani huo utekaji nyara na hilo Jambazi linalojiita limepindua liuawe chap chap
Kwa mujibu wa katiba ya Guinea hakuna njia ya Jeshi ya kumuondoa Raisi aliyepo madarakani. Jambazi Mamady Doumbouya kavunja katiba
Yalikua HALALI hayo mapinduzi??CCM kinaitwa Chama cha Mapinduzi kama hujui
Inategemea na mpinduaji ana malengo yapi . Tumemshuhudia Jerry Rawlings akiifanya Ghana kuwa democratic country in Africa .Kwa siku moja tu !!. Lazima mazingira ya kuirudisha serikali kwa raia yaandaliwe . Ikiwemo na hilo Bunge lililofanya mambo haramu lazima liondolewe .
Hawa ccm walioshindwa kuendesha nchi hapa nao ni wanajeshi.Wangetaka kuachia madaraka tungeona hata dalili wakitamka wana lengo la kuitisha uchaguzi ndani ya muda fulani. Historia ya mapinduzi mengi yanayofanyika Afrika wanajeshi huwa hawatoki kwahiyo raia mnakuwa mmeondoa tatizo mmeingiza tatizo na wanajeshi huwa hawana uwezo wa kuongoza nchi.
Sasa kipi bora waongoze wanajeshi au chama tofauti na ccm? Sio kazi ya jeshi kuongoza nchi hilo ni jukumu la raia.Hawa ccm walioshindwa kuendesha nchi hapa nao ni wanajeshi.
Au ndio miguru michemba?Ni yule wa ......
Hivi njemba Kama huyo wa Guinea inapo fanya Jambo Kama Hilo hufuata katiba????Mimi uzuri huwa post zangu sipost kutafuta likes ! !! ! Hii mada iko juu mno ya uwezo wako hii ni ya kimataifa sio ya ndani ya hoja ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mada ambazo wewe unaziweza kidogo! ! ! Hapa niko anga za kimataifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu kibaya kama kunywa uji wa mapumba ya mahindi na chumvi kama chakula kikuu cha siku.
Ukute mtoa mada ni muhitimu wa chuo fulani tangu 2013 hana ajira, kakaa kwa shemeji imeshindikana akajiunga na forever living anatembea na vipeperushi kila siku kazi kuhudhuria mikutano ya motivational speakers tu kila alhamisi na anasali kwa Gwajima. Unaweza kuelewa ni mtu wa aina gani
Ungekua na uwezo huo si ungezui kifo cha mbaguzi,mwonevu na dhulumati aliekwenda zake? Lofa kabisa weweeeee!!Mimi ni mmojawapo nitakayesaidia kuwezesha hilo Jambazi Mamady Doumbouya kuondoka madarakani wewe subiria hapo hapo utaona
Kifo hajizuiliki ndio maana kinachosubiriwa ni hilo Jambazi Mamady Doumbouya kuuawaUngekua na uwezo huo si ungezui kifo cha mbaguzi,mwonevu na dhulumati aliekwenda zake? Lofa kabisa weweeeee!!
Kumbe unajua kifo hakizuiliki ndio maana kuna jambazi lilidondoshwa vilevile Kwa ukatili na uhayawani wake.Kifo hajizuiliki ndio maana kinachosubiriwa ni hilo Jambazi Mamady Doumbouya kuuawa
Sasa hivi linaishi kwa kujificha ficha saa yeyote litalambwa shaba
Sasa huko Guinea huyo rais Conde ndio hivyo tena kishashindwa kajiongezea muda kinyume cha katiba na udikteta juu.Sasa kipi bora waongoze wanajeshi au chama tofauti na ccm? Sio kazi ya jeshi kuongoza nchi hilo ni jukumu la raia.
Eti linaishi kwa kujificha...!!! Wewe utapata stroke bure, shauri yako 🤣Kifo hajizuiliki ndio maana kinachosubiriwa ni hilo Jambazi Mamady Doumbouya kuuawa
Sasa hivi linaishi kwa kujificha ficha saa yeyote litalambwa shaba
Mamady Doumbouya anaishi kama panya kujifichaEti linaishi kwa kujificha...!!! Wewe utapata stroke bure, shauri yako 🤣
Guinea jeshi linalinda demokrasia sio watawala wa kibabe. Conde urais ndio basi tena.